Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini zimesababisha adha ya usafiri eneo la kutoka Mbweni kwenda Kiembeni Mapinga wakazi wa eneo la Kiembeni ambao wamekua wakipata huduma za Afya katika Hospital ya St Joseph wamelazima kutumia umbali mrefu kufikia huduma mbalimbali za kijamii na Shule.