Ngoja wajuaji waje watakueleza, swali zuri sana
Kisa nn?Mbona roho inadunda ghafla??
Kile alicholazimishwa Na kulazimika kukifanya kurudi kule walipo mkataa Mara ya kwanza Na kutelekeza wale waliompokea, kumuamini, kumpigia kura Na kusimama nae Daima... .. Kitamtafuna na kumnyong'onyeza Daima. . Ujasiri wa kutokea kwenye mikusanyiko kifua mbele hata upata tenaSio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi.
Huu ukimya wake pia hapana.
Huwa sina kawaida ya kupuuzia maswali ya namna hii.Ni lazima kuna jawabu lake.Sio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi.
Huu ukimya wake pia hapana.
Kile alicholazimishwa Na kulazimika kukifanya kurudi kule walipo mkataa Mara ya kwanza Na kutelekeza wale waliompokea, kumuamini, kumpigia kura Na kusimama nae Daima... .. Kitamtafuna na kumnyong'onyeza Daima. . Ujasiri wa kutokea kwenye mikusanyiko kifua mbele hata upata tena
Mwacheni mzee, huwezi jua kaumia kiasi gani.
mzee Lowasa inasemekana yuko kwenye matibabu ujerumani
Nilivyoona hii post roho imeniuma na mimiMbona roho inadunda ghafla??