Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wapendwa
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu Mkuu aliyeumba Mbingu na Nchi.
Nafurahi kuwajulisha kuwa Hali ya Hewa ya Arusha sasa imerejea katika Ubora wake wa Asili.
Ubaridi ulee Tunaoupenda na Tuliouzoea Sasa umeanza Kurejea.
Arusha Katika Ubora Wake!