Agape sanctuary ministry shirika la kitapeli?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Hili shirika la kikristo serikali iwaangalie kwa jicho pevu, ni matapeli, kuna picha za spika wa bunge akijihusisha nao na kuwapa hekari zaidi ya 700 Dodoma,

Pia wamekuwa wakimtaja waziri wa michezo Nape Nnauye kuwapa tafu ili waaminike, kwenye mikutano yao wamekuwa wakijitangaza kuwa wanashirikiana na mwanasheria mkuu wa zanzibar, hili shirika ni la kitapeli.

Askofu wao kashajinunulia gari kwa kuwatapeli watu kwa hela za interview,

Tunaomba serikali ichunguze hili shirika hewa.
 
Hauja-analyse vzuri mada ysko ikajitosheleza mashiko. Imekuwa kama unapika jungu'flan'iv!.... Spika wa Bunge kuwapa zaidi ya ekari 700, Askofu wao nani aliyejinunulia gari kwa hela za interview? Na ni interview ipi?
Kwanini mtu uliyestaarabika af'unaonekana ni msomi kuleta wivu wa kike kwene forum!
Inatokana na nini hii kitu, kuna sehemu umekwaruzana nao mkashindwa kupikika chungu k1?
 
Shibisha bandiko lako kwa steki sahihi ili kutoa possibility ya watu kukutazama kwa negativity na ku-comment Mabaya juu yako..edit yoir post tafadhali
 
Watu bhana,wanatetea kwenye udini!
Ama kweli vita ya udini haitaisha mpaka mwisho wa dunia.
 
Walioelewa wanieleweshe tafadhali

Hauja-analyse vzuri mada ysko ikajitosheleza mashiko. Imekuwa kama unapika jungu'flan'iv!.... Spika wa Bunge kuwapa zaidi ya ekari 700, Askofu wao nani aliyejinunulia gari kwa hela za interview? Na ni interview ipi?
Kwanini mtu uliyestaarabika af'unaonekana ni msomi kuleta wivu wa kike kwene forum!
Inatokana na nini hii kitu, kuna sehemu umekwaruzana nao mkashindwa kupikika chungu k1?

Shibisha bandiko lako kwa steki sahihi ili kutoa possibility ya watu kukutazama kwa negativity na ku-comment Mabaya juu yako..edit yoir post tafadhali

Hizi si ndiyo miongoni mwa posts ambazo kwa vipimo vyote hazikidhi viwango na ni kinyume na JF regulations & rules?

Inakuwaje mtu ambaye ana frustrations zake huko anakuja kuchafua mtu ama taasisi pasipo hata na ushahidi?

Mods, do your job please!!
Ipo hivi,
Kuna shirika la kikristo ilijipambanua kwamba imepata ufadhili toka marekani wa kujenga makanisa zaidi 200 tanzania,kujenga shule za secondary zaidi ya 30 na hospitali za rufaa,hilo shirika lipo chini ya Askofu Martin Ngwila kwa hapa Tanzania,walitangaza nafasi za kazi kwenye redio mbalimbali na malipo ya interview ni 10,000 waliapply zaidi ya watu 4000 ,watu walikodi mabasi toka mbeya,kigoma,dar,nk.kumbe shirika la kitapeli
 
Cna hakika na usemacho ngoja tusikie kwa wengine
 
Ipo hivi,
Kuna shirika la kikristo ilijipambanua kwamba imepata ufadhili toka marekani wa kujenga makanisa zaidi 200 tanzania,kujenga shule za secondary zaidi ya 30 na hospitali za rufaa,hilo shirika lipo chini ya Askofu Martin Ngwila kwa hapa Tanzania,walitangaza nafasi za kazi kwenye redio mbalimbali na malipo ya interview ni 10,000 waliapply zaidi ya watu 4000 ,watu walikodi mabasi toka mbeya,kigoma,dar,nk.kumbe shirika la kitapeli

Sawa, lakini ulitakiwa kutoa maelezo ya kina na ya kujitosheleza toka mwanzo, ingalau kama ulivyoeleza hapa.

Post yako original ilikuwa na mapungufu!!
 
Mi naona bado hujakamilisha,liko WAP kanisa na hyo interview iliishaje,hakuna aliye ajiriwa?
 
Kanisa lipo duka mbovu arusha,interview iliisha watu wakachaguliwa wakaambiwa wataitwa mwezi wa 6,na walikuwa wanahitaji watu 1500,mpaka leo hawajaitwa zaidi ya kupigwa calenda
 
Back
Top Bottom