Wadau wa madini tupeane ushauri

Wadau wa madini tupeane ushauri

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,785
Pete yenye mnasema karet (sijui kama nimeitamka sawa) 18, na uzito wa gram 2..kiuhalisia mdau wa madini unaweza kuichukua kwa shilingi ngapi.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom