MARUFUKU

MARUFUKU

smartj

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
296
Reaction score
153
Serikali imekataza mifuko ya plastiki kuanzia tarehe 1 JUNI 2019. Faini au Vifungo vitatolewa kwa atakayezalisha, kuuza au kutumia mifuko hiyo. Achana nayo leo!
 
Serikali imekataza mifuko ya plastiki kuanzia tarehe 1 JUNI 2019. Faini au Vifungo vitatolewa kwa atakayezalisha, kuuza au kutumia mifuko hiyo. Achana nayo leo!


Mi nina kontena zima la hiyo mifuko na nimeanza kuwatupia majirani majumbani mwao usiku ili wakamatwe wao.
 
Back
Top Bottom