Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Kwakuwa makampuni ya IPP ni makampuni ya kizalendo basi watanzania hatuna budi kuyapigania ili yasimame yasianguke
Na kwa utamaduni wa kitanzania mwenye mali akifariki kampuni nyingi hufa kifo cha mende.
Makampuni ya IPP yanamchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania hivyo anatatikana mtu imara anayejua figisu fugisu za biashara Tanzania na kwa haraka haraka mbowe anaweza kusimamia hiyo kampuni katika kipindi cha mpito ili kuhakikisha kampuni haiyumbi
Juzi nilikuwa naongea na mfanyakazi mmojawapo ya makampuni tanzu ya IPP akaniambia chombo cha habari km ITV na redio one vinajiendesha vyenyewe havitegemei mapato kutoka nje ya biashara yao hilo ni jambo zuri lkn anahitajika mtu makini kuendeleza hilo
Mengi alikuwa anamwamini zaidi yule mtt wake aliyefariki ila hawa kina regina na abdiel sio watu wanaotamani mafanikio ni watoto walioridhika na maisha hivyo hata wakiachiwa kampuni wa irun ni dhahiri itakufa kifo cha mende kwa ufupi sio watu heka heka hawawezi kupambana na kina kusaga kwenye soko la media
Ukiondoa bonite ambalo tayari kuna soko la uhakika lkn kampuni nyingine kuendesha inaweza kujikuta kama sahara media wafanyakazi wanakaa miaka miwili hawajapata mshahara
R.I.P dr.Reginald Mengi
Hakika umegusa maisha ya watu