NANI ANATAKA KIWANJA JIJINI DODOMA

NANI ANATAKA KIWANJA JIJINI DODOMA

Daviie

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
1,292
Reaction score
1,483
Kiwanja kinauzwa Dodoma, Mahali panaitwa Msalato, Ni umbali wa km 15 kutoka mjini kati kuelekea barabara ya Arusha. Pia umbali wa mita 300 kutoka barabarani
-UKUBWA wake ni 919SQM
- BEI Tsh 8M (maongezi yapo)
- KIMESHAPIMWA ni kusubiri hati itoke ambayo tayari imeshalipiwa
- Huduma Muhimu kama Maji na Umeme vipo karibu na Eneo. Karibuni!
(simu: 0625656479)
 
acha biashara kichaa, sema kiwanja kina ukubwa gani ili watu wajitathmini mifukoni mwao. unajua kuwa ofa haitakiwi kuwa na masharti?
 
Nenda Google ujifunze kutangaza biashara ndo urudi hapa,
 
Arusha road mitaa gani? Unafika chuo cha mipango au? Ongeza nyama mkuu
 
Hivi unaakili timamu wewe? Yan hivyo tu?
Acha matusi. Akili timamu ikoje. Mi siyo mfanya biashara wa viwanja wala sijasomea Marketing. Nauza kiwanja changu kwaajili ya shida zangu. Sema hujaelewa wapi ueleweshwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom