Jamani tuna ugeni mkubwa hapa kutoka China zaidi Wa watalii 300 namuona hapa wazir kigwangala anatafsiriwa kichina.
Ndio wameshuka na lidege LA Ethiopia,fursa Kwa wale walioko huko
Alitamba Kwa nyimbo za Rita, Mbayuwayu n.k
Mara ya Mwisho nimemsikia kwenye kampeni za Urais mwaka 2010 wakati Kikwete anagombea kipindi chake cha Pili.
Mimi nina tabia moja kwamba nikijua kuwa fulani amefiwa na bado hana taarifa wakati Watu wengine wakijipanga jinsi ya Kumwambia / Kumtaarifu ili wasimuumize huwa namwambia moja kwa moja kuwa ' Oya...
Wadau,leo nimebahatika kupita barabara ya kuanzia feri,Manispaa ya Kigamboni kwenda ilipo hospital ya Manispaa hiyo iitwayo,Vijibweni (japo ipo eneo liitwalo Kisiwani).
Kilichonishangaza ni...
Naomba kujua huu mwenge eti ukiwashwa huwa hauzimwi hata siku moja?
kama huwa hauzimwi je utambi wake una urefu gani?
kukiwa kuna upepo mwenge huwa unazungukwa na watu ili kuzuia usizime, ina...
Kuna kanisa moja rafiki yangu alinipeleka. Huyo mwenye kanisa (daddy) kwanza kabla hujamuona unashauriwa ununue juice ya Ribenna black current kwenye duka lake na chupa ya mafuta ya mzeituni...
Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.
Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.
Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa...
Suala la video ya ngono ya kiongozi wa dini kuvuja sio dogo. Vitendo vya ulawiti na mapenzi ya jinsia moja vimekuwa vitu vya kawaida katika dunia ya leo.
Baba askofu ametoa maelezo mengi juu ya...
Mnafahamu kuwa mafuta kwenye mwili hasa mafuta yanayo zunguka kiuno ni hatari kwa afya.
Matatizo yanayotokana na mafuta ya ziada mwilini yanagharimu taifa kupoteza nguvu kazi, wizara afya kutibu...
Wasalaam wandugu wapendwa,
Nimesoma kupitia vyombo vya habari kuwa vibaka/wezi wameiba mikufu ya dhahabu, fedha na laptop nyumbani kwa Mengi.
Polisi wanafanya kazi yao, ila kuna mambo kama Taifa...
Kenya’s military spending last year rose to a new high of Sh109.7 billion to stand above those of neighbouring Tanzania and Uganda combined for the first time, according to a newly released global...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa naomba ushauri wa kibiashara kwani mimi ni Mwanafunzi wa chuo kimoja cha kitabibu hapa nchini.
Katika harakati zangu za hapa na pale za...
Kwa vipindi tofauti nimekuwa nikipingana na NASA na allies wake 'JF Wamejaa' ya kuwa dunia haina umbo la tufe 'Spherical Shape' kama tunavyoaminishwa, kufundishwa na kukaririshwa.
Huku nikieleza...
Kuna nukuu za kamanda wa polisi mkoa wa Songwe, nimezisoma kwenye habari katika gazeti la mwananchi, kuhusu uchunguzi wa kutekwa kwa Mdude. Binafsi nipo njia panda.
Nazianisha baadhi ya nukuu...
Jamani tunaomba bank zilizochukua jukumu la kubadili pesa ziongeze currency nyingi zaidi tofauti ili kutosheleza mahitaji yetu na ya wageni hasa watalii
Nimeshangaa kuona benki nyingi wanaotoa...
Mwamko wa kutoa kidogo ulichonacho kwa ajili ya wengine bado ni mdogo kwa Tanzania kwa hiyo tunapoona mtu au taasisi imeamua kufanya hivyo ni vizuri kupongeza na kuwatia moyo.
Msanii Shetta...
Tangu niliposikia kusambaa video ‘chafu’ inayodaiwa kuwa ya Mchungaji Gwajima kwenye mitamdao mbalimbali ya kijamii nilifanya kila juhudi kuitafuta na kuiangalia, nikikereketwa na kujiuliza, kwa...
Habari za weekend, leo nimeona niwamegee siri hii ambayo huenda wengi hawafahamu.
Kwenye haya maisha kuna watu wamejaaliwa kipaji cha umbea(sio uongo) yaani ni ukweli 100% ila wanausema bila...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Askofu Gwajima ambapo wawili hawa kama utakuwa unakumbuka miezi kadhaa iliyopita walikuwa na tofauti zao lakini leo wameonekana wakizungumza kwa...
Kijana Allen Buberwa kutoka Tanzania alikuwa akisoma Chuo Kikuu nchini Marekani ambapo umauti ulimfika Jumatatu wiki hii baada ya kuzama mtoni.
Mwili wake unatarajiwa kurudishwa nyumbani Tanzania...