Wizara ya Ujenzi,wakumbukeni Wana Kigamboni

Wizara ya Ujenzi,wakumbukeni Wana Kigamboni

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Wadau,leo nimebahatika kupita barabara ya kuanzia feri,Manispaa ya Kigamboni kwenda ilipo hospital ya Manispaa hiyo iitwayo,Vijibweni (japo ipo eneo liitwalo Kisiwani).

Kilichonishangaza ni kuwa,kuanzia eneo liitwalo Tungi Msikitini,serikali tawala mwaka Jana muda mchache kabla mwenge wa Uhuru haujaitembelea Kigamboni, iliibomoa barabara iliyokuwa na lami na kuyaacha mahandaki tu ambayo hayajazibwa mwaka mmoja Sasa.

Kwa kweli hiyo ni KERO kubwa Sana,foleni zisizo msingi na pia mateso kwa wanaoenda hospital,hebu mwenye access ya kuwaona wenye mamlaka waambieni,mm nimepita Leo tu,je wanaoishi kabisa huko itakuwaje?

Lol...sawa lakini
 
Ni kweli kabisa unachozungumza, kiuhalisia sikuona sababu ya kubomoa kile kipande cha barabara ikiwa hawakua na uwezo wa kukikarabati ndani ya muda mfupi ni bora wangekiacha vile vile kuliko hali iliyopo sasa ni mbaya sana
 
Poleni Sana ila nimesikia wanamkomoa diwani wa Tungi maana ni mwanaupinzani so wanatumia mateso hayo ili msimchague Tena 2020. Pia serikali ya mtaa ni upinzani hivyo mnapikwa Hadi muive kabisa. Asante
 
Alishahamia ccm.

Lkn pia alitoka ccm cuf alienda kugombea tu so ilikuwa lazima 2020 arudi ccm
 
Alishahamia ccm.

Lkn pia alitoka ccm cuf alienda kugombea tu so ilikuwa lazima 2020 arudi ccm
Kisharudi nyumbani kulikonoga? Karudi lini, anyways,walionipasha news zote,hilo hawakunimegea,nipo hapa mnadani nacheki mpira,Kama unaweza njoo tuungane tafadhali
 
Back
Top Bottom