Msanii Shetta Shetani na Harakati zake za Mambo ya Afya

Msanii Shetta Shetani na Harakati zake za Mambo ya Afya

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,923
Reaction score
7,169
Mwamko wa kutoa kidogo ulichonacho kwa ajili ya wengine bado ni mdogo kwa Tanzania kwa hiyo tunapoona mtu au taasisi imeamua kufanya hivyo ni vizuri kupongeza na kuwatia moyo.

Msanii Shetta Shetani ni mmoja wa watu ambao siku za hivi karibuni ameonyesha kuwa na muamko wa kusaidia katika sekta ya afya.

Nimeona mara kwa mara akikutana na akipongezana na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Ummy Mwalimu. Ningependa kujua mpaka sasa hivi ametoa misaada gani.

Mwisho napenda kumtia moyo msanii huyu katika juhudi zake.
 
Naona umekuja kuchungulia km wadau tunathamin michango yako sektani...
 
Back
Top Bottom