Mwili wa kijana Allen aliezama mtoni Marekani kuwasili Jumatano

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Kijana Allen Buberwa kutoka Tanzania alikuwa akisoma Chuo Kikuu nchini Marekani ambapo umauti ulimfika Jumatatu wiki hii baada ya kuzama mtoni.
Mwili wake unatarajiwa kurudishwa nyumbani Tanzania Jumatano au Alhamisi wiki ijayo.

Chanzo : BBC Swahili

60039437_2467306086621375_8575582039657414656_n-1.jpeg
59921108_2467306569954660_1669897024285179904_n.jpeg
 
Alikuwa anaogelea au anavuka MTO? Tupe maelezo japo kidogo ili tujihadhari tukiukaribia huo MTO. Ni MTO Michigan au Misisipi?, Huko pia wanazama mitoni?
Kijana Allen Buberwa kutoka Tanzania alikuwa akisoma Chuo Kikuu nchini Marekani ambapo umauti ulimfika Jumatatu wiki hii baada ya kuzama mtoni.
Mwili wake unatarajiwa kurudishwa nyumbani Tanzania Jumatano au Alhamisi wiki ijayo.

Chanzo : BBC Swahili

View attachment 1093579View attachment 1093580
 
hii ni mara ya piliii
nina jamaa yngu nilisoma nae, sbb alikua mrefu sana akapata shavu la basket ball akaenda marekani kumalizia chuo huku anacheza kikapuu, nae mwaka juzi alizama hivi hivi mtonii akaja kupatkana baada ya siku kadhaaa akaletwa futuhi land, watu wa jitegemee na udsm hii habari si ngeni kwao.
 
Back
Top Bottom