DAD'S SON
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 392
- 466
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa naomba ushauri wa kibiashara kwani mimi ni Mwanafunzi wa chuo kimoja cha kitabibu hapa nchini.
Katika harakati zangu za hapa na pale za kupiga overtime nikafanikiwa kupata sh 1.3M sasa mpaka saivi nataka nifanye businesses ambayo inaweza kuniingizia kipato kipindi ichi bado nasoma na hata nkimaliza kwan sometimes huwa najilipia ada ya chuo.Kwa nyakati izi kijana kama mm natakiwa nijishughulishe nje na elimu ili kupata kipato and mifano ipo mingi ya watu kusoma huku wanaingiza fedha so,
NAPOKEA USHAURI WENU NDUGU ZANGU