Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 505
- 487
Wengi Wamelia,
Wengi Wamejilaumu Sana
Na Wengi Wanajutia Kwasababu Tu
Hawakuzingatia Japo Walifahamu,
Na Wengine Hawakuwa Na Mtu
Au Watu Wa Kuwaambia.
Leo Wewe Nakuambia
Zingatia Sasa.
Maisha Ni Ya Ajabu Sana,
Kila Mahali Utakapoenda,
Akilini Mwako Tambua Kuna Aina
Hizi Tatu Za Watu.
Moja: Watu Ambao Hawakukubali
Kamwe. Uwe Mwema, Uwe Na
Ideas, Uwe Mzuri Wa Sura,
Mwonekano Nk.
Au Hata Uwe Na Mali Kiasi Gani.
Wapo Watakao Kufurahia,
Lakini Wapo Watakao
Kuona Takataka Mbele Zao.
Mbili: Watu Ambao Wanakukubali
Tu Jinsi Ulivyo. Una Madhaifu, Au
Changamoto Zako Lakini Watakuwa
Tu Kama Hawazioni Vile.
Haijalishi We Ni Mzuri Wa Kuvutia,
Au Wa Kawaida. Vyovyote Tu Wao
Wanachojali Ni Wewe Tu.
Tatu: Watu Ambao Wako
Na Wewe Kwa Maslahi Au
Mazingira Fulani Tu. Hawa Hawakujui
Mkiachana Au Kwenda Mbali.
Walikufahamu, Walikuchangamkia
Kwasababu Tu Mlikutana Na
Mlikuwa Sehemu Moja.
Hawakupenda Ila Mazingira Tu
Ndiyo Yalisababisha Waongee
Na Wewe Kwenye Maisha Yao.
KWANINI NAKUKUMBUSHA?
Safari Ya Mafanikio Yako
Au Mafanikio Yako Sio Tu Bidii,
Juhudi Kila Siku.
Mafanikio Yako Yanachochewa
Sana Na Watu Wanakuzunguka
Na Unaoishi Nao Kila Siku.
Hivyo Basi,
Kundi La Kwanza: Usipoteze Muda
Kujieleza Au Kujipendekeza
Kwao.
Hata Ufanye Nini,
Hutawahi Kuwaridhisha.
Hili Kundi Wana Wivu,
Wapo Radhi Kukungusha
Kwa Manufaa Yao.
__________________
Kundi La Pili: Hawa Ndio Nguzo
Yako. Linda Uhusiano Wako Nao
Kwa Hali Na Mali,
Kwani Ni Adimu Sana Kuwapata.
Watakusapoti
Katika Mambo Yako
Na Kukutia Moyo Katika Safari
Yako Ya Ndoto Na Maisha Yako.
__________________
Kundi La Tatu: Jifunze Kuishi Nao
Kwa Akili Na Mipaka.
Furahia Nao Msimu Wao,
Lakini Usiwape Siri Au Uaminifu
Wako Wote. Utaumia.
Hawa Huwa Hawajali
Unachofanya Na Unaweza
Hisi Wanakufuatilia
Kumbe Ni Hisia Zako.
Pia Wana Wivu,
Na Ukilazimisha Mahusiano
Nao Utapuuziwa Sana Hadi
Ujidharau Maisha Yako Yote.
__________________
Ishi Na Watu Kwa Akili
Kutokana Na Jinsi Walivyo.
Usihusudu Watu,
Heshimu Watu.
Linda Thamani Yako.
Dr.Zack ✍️
Wengi Wamejilaumu Sana
Na Wengi Wanajutia Kwasababu Tu
Hawakuzingatia Japo Walifahamu,
Na Wengine Hawakuwa Na Mtu
Au Watu Wa Kuwaambia.
Leo Wewe Nakuambia
Zingatia Sasa.
Maisha Ni Ya Ajabu Sana,
Kila Mahali Utakapoenda,
Akilini Mwako Tambua Kuna Aina
Hizi Tatu Za Watu.
Moja: Watu Ambao Hawakukubali
Kamwe. Uwe Mwema, Uwe Na
Ideas, Uwe Mzuri Wa Sura,
Mwonekano Nk.
Au Hata Uwe Na Mali Kiasi Gani.
Wapo Watakao Kufurahia,
Lakini Wapo Watakao
Kuona Takataka Mbele Zao.
Mbili: Watu Ambao Wanakukubali
Tu Jinsi Ulivyo. Una Madhaifu, Au
Changamoto Zako Lakini Watakuwa
Tu Kama Hawazioni Vile.
Haijalishi We Ni Mzuri Wa Kuvutia,
Au Wa Kawaida. Vyovyote Tu Wao
Wanachojali Ni Wewe Tu.
Tatu: Watu Ambao Wako
Na Wewe Kwa Maslahi Au
Mazingira Fulani Tu. Hawa Hawakujui
Mkiachana Au Kwenda Mbali.
Walikufahamu, Walikuchangamkia
Kwasababu Tu Mlikutana Na
Mlikuwa Sehemu Moja.
Hawakupenda Ila Mazingira Tu
Ndiyo Yalisababisha Waongee
Na Wewe Kwenye Maisha Yao.
KWANINI NAKUKUMBUSHA?
Safari Ya Mafanikio Yako
Au Mafanikio Yako Sio Tu Bidii,
Juhudi Kila Siku.
Mafanikio Yako Yanachochewa
Sana Na Watu Wanakuzunguka
Na Unaoishi Nao Kila Siku.
Hivyo Basi,
Kundi La Kwanza: Usipoteze Muda
Kujieleza Au Kujipendekeza
Kwao.
Hata Ufanye Nini,
Hutawahi Kuwaridhisha.
Hili Kundi Wana Wivu,
Wapo Radhi Kukungusha
Kwa Manufaa Yao.
__________________
Kundi La Pili: Hawa Ndio Nguzo
Yako. Linda Uhusiano Wako Nao
Kwa Hali Na Mali,
Kwani Ni Adimu Sana Kuwapata.
Watakusapoti
Katika Mambo Yako
Na Kukutia Moyo Katika Safari
Yako Ya Ndoto Na Maisha Yako.
__________________
Kundi La Tatu: Jifunze Kuishi Nao
Kwa Akili Na Mipaka.
Furahia Nao Msimu Wao,
Lakini Usiwape Siri Au Uaminifu
Wako Wote. Utaumia.
Hawa Huwa Hawajali
Unachofanya Na Unaweza
Hisi Wanakufuatilia
Kumbe Ni Hisia Zako.
Pia Wana Wivu,
Na Ukilazimisha Mahusiano
Nao Utapuuziwa Sana Hadi
Ujidharau Maisha Yako Yote.
__________________
Ishi Na Watu Kwa Akili
Kutokana Na Jinsi Walivyo.
Usihusudu Watu,
Heshimu Watu.
Linda Thamani Yako.
Dr.Zack ✍️