Hawa wanasheria ni habari nyingine

Hawa wanasheria ni habari nyingine

Equipment

Senior Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
187
Reaction score
168
KUTOKA MAHAKAMA YA KISUTU

WAKILI: Ndugu Shahidi, hivi Kampeni za Nyumba kwa Nyumba zinaruhusiwa wakati wa Uchaguzi?
SHAHIDI: Ndio, zinaruhusiwa.
WAKILI: Wewe ulijuaje kuwa akina Mbowe walikuwa wanaandamana na sio Kampeni za Nyumba kwa Nyumba?
SHAHIDI: Kwa Sababu walikuwa wanatembea Barabarani.
WAKILI: Kutoka Nyumba moja kwenda Nyumba nyingine kama sio kutumia Barabara, ulitaka wapitie wapi?
SHAHIDI: Kimyaa!

Na; Gerva Lyenda,
Mahakama ya Kisutu - Dar Es Salaam.
 
Nyie watu mtaua mbavu zetu leo
 
Mahakamani hua kuna viroja sana kama ukikutana na mwanasheria anejua kujenga hoja.
Ndio maana wanashauri watu tuwe tunaenda mahakamani hata kama hatuna kesi kwa lengo la kujifunza tu. Sasa hapo mtu uwe ndio siku ya kwanza unatia mguu mahakamani halafu unakutana na kitu kama hiki lazima uonekane kituko
 
Sio kuonekana kituko peke yake, usipokua makini hakimu anaweza kukupumzisha hata wiki 2.
 
Back
Top Bottom