TOFAUTI ya Andazi na Donati!

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
3,443
6,986
Wakuu nimejikuta matatani baada ya Afande mmoja kuniagiza maandazi kama kitafunwa, sasa baada ya kukosa maandazi nikaamua nijiongeze mie mwenyewe kumchukulia Donati, kimbembe ni pale Afande alipokuja juu sana na kuniwakia Kwann nimemletea Donati badala ya Andazi! Nini tofauti kati ya vitafunwa hivi?
 
Hao watu wa green vest ya kijani waache walivyo, kukaa kwao makambini kunawaacha nyuma sana katika uelewa wa mambo, wiki mbili zilizopita nimekutana na mmoja na boksi la compact cassettes nikamwambia azibadili kwenda kwenye digital format akasema anatafuta radio cassette
 
Wakuu nimejikuta matatani baada ya Afande mmoja kuniagiza maandazi kama kitafunwa, sasa baada ya kukosa maandazi nikaamua nijiongeze mie mwenyewe kumchukulia Donati, kimbembe ni pale Afande alipokuja juu sana na kuniwakia Kwann nimemletea Donati badala ya Andazi! Nini tofauti kati ya vitafunwa hivi?
aisee Kama Ni kijana wa siro alikutuma mbona usingejitahidi kutafuta hayo mandazi kwa udi Na uvumba Halafu uyawekee sumu?
 
Huyo Afande ni Zuzu..!
Donati ni Bora kuliko Andazi, pengine atakuwa ni Afande kutoka Mikoani..
 
Back
Top Bottom