Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,013
hapo zamani wanafunzi wa chuo hasa UDSM Ilikuwa ni ngumu tena haikuwezekana kusoma mwaka mzima bila kigoma! haikuwezekana kabisa. mambo yalianzia rev.squire. watu waligoma kushinikiza. mwaka, 2001 wazir mkuu wa Daruso alikiwa zzk pale mlimani palitokea wanafunzi wa sociology 201 kukosa nafasi japo walidahiliwa timbwili lake ilibidi warudishwe.nakumbuka zzk alikuwa akimpigia ng"wandu simu waziralitetemeka na kuja chuo haraka.
mwaka mmoja tulichagua raisi bwana kayombo tukamtoa ndio akaibuka bwana mwita waiitara (msaliti wa ukonga)
ilipoanzishwa HSLB palichimbika na madhara ya hii kitu leo wote tunaugulia.
najiuliza vijana wa siku hizi wanashindwa nn? kijana anasoma miaka mitatu bila kugoma anaelewa kweli huyu?
usipogpma chuo kugomea kazini?
migomo iliwaleta pamoja na kuistua serikal. mfano ukosefu wa ajira kwa wahitimu
chuo bila mgomo ni sawa na primary tu