Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zetu Watanzania wenye asili ya Asia, hasa madhehebu ya Hindu na Sikh hivi ni kwanini mambo ya kitaifa mfano Rais akitaka kuongea na viongozi wa dini nyie mnajitenga. Mnajua nyie ni...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimekuwa natafuta maisha mazuri ila hawezekani kwa nyakati hizi kutokana na ari kuwa ngumu kote kote kwa sisi Viben10 sasa na hata wasio kama sisi, naombeni ushauri juu ya jambo hili; Jana...
1 Reactions
75 Replies
14K Views
Ile Hali ya kulala na mkeka ukiamini kuwa kesho utashinda Ni Hali nzuri sana kwani unakuwa umelala tajiri hata Kama kesho utaamka umeliwa ukarudi kwenye umaskini wako.somehow kidogo watu ku...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Mko pouwa Wakuu naomba kujuzwa namna ya kurudisha TIN, mambo yamekua magumu nataka nifunge biashara kwa muda Ila nikirudi sitaki tena kutumia tin no, maana nalipa pesa kubwa wakati wenzangu sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wimbi la wanawake kuendelea kuuawa katika Mji wa Mto wa Mbu wilaya ya Monduli Mkoani hapa ,limeendelea kushika kasi kufuatia Mwanamke mwingine kuuawa na kunyofolewa viungo vya mwili. Mwanamke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Ama kweli dunia ina maajabu.! Gazeti la Mwananchi limereport leo kuwa wakati msiba ukiendelea ,watu wasiojulikana wameingia kwenye jumba la kifahari la marehemu Mengi na kuiba vito vya thamani...
11 Reactions
107 Replies
14K Views
Kwa mujibu wa sheria mfano Customary law Declaration Order 1964, kati ya sababu zinazoweza kumfanya mtu mwenye haki ya kupewa urithi, asipewe, ni kama alihusika na kifo cha marehemu, au alimtesa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuimarika kwa udhibiti wa shughuli za madini na kuongezeka kwa uzalishaji miongoni mwa wazalishaji katika migodi mikuu, hususan ile ya Geita na North Mara, kumeinua mapato yatokanayo na uuzaji wa...
1 Reactions
5 Replies
696 Views
Tunatambua juhudi zinazofanywa na Serikali ya awamu hii kuhusu mambo mengi ya maendeleo ikiwemo miundombinu. Aidha, pamoja na kuwa maeneo yote yanahitaji huduma na rasilimali ni ndogo, Serikali...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
.
Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025...
1 Reactions
2 Replies
536 Views
KESI ya madai kati ya Bernard Membe na Cyprian Musiba iliitwa jana tarehe 26 Februari 2019 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, lakini mdaiwa (Musiba) alishindwa kuwasilisha majibu ya utetezi...
26 Reactions
51 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu... Nilibahatika kupata kazi katika shirika binafsi linalojihusisha na mambo ya kijamii na watoto wa mtaani ( kwa sasa ninayo miezi 6 katika hii kazi). Kazi inanipatia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ameagiza kufungwa kwa biashara za baa na maduka ya kuuzia vileo, migahawa ya chakula wakati wa mchana katika Mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani...
2 Reactions
165 Replies
21K Views
Watoto wawili wamepoteza maisha kutokana na athari za mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama ilivyo ada ya ijumaa kuu, haitakiwa kula nyama. Hivyo kwa kigezo kile kile kinachotumika katika kipindi hiki cha kupindua ratiba ya kula (Kula usiku na kushinda njaa mchana) kufunga migahawa...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Nilikuwa Kahama weekend hii, majina ya mitaa yao utacheka jamani. Majina ya mikoa na mitaa ya watu wamehamishia kwao kana kwamba hawawezi kutunga majina yao wenyewe. Sijui wanaamini kwa kuita...
25 Reactions
188 Replies
27K Views
Pendo alikuwa mhudumu wa baa katika maeneo fulani ambapo alifanya hiyo kazi akiwa kama kaunta, katika baa ile ilikuwa ni mwisho saa 6 usiku ndio wanafunga Siku1 walipata wateja ambao ilipelekea...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna ndege ya asili iliyotengenezwa na watanzania na yenye uwezo wa kumbeba abiria mmoja tu imepata ajali maeneo ya Sakina Arusha usiku huu, kwa mujibu wa Radio 5 Arusha kupitia mwandishi wake...
4 Reactions
71 Replies
15K Views
Napenda kuwausia wadogo zangu mnaotarajia kuripoti vituoni kwa ajili ya kazi ya ualimu Achaneni na kujiunga na chama cha walimu tanzania kwani hakina mpango wowote wa kumsaidia mwalim. Pia kwa...
6 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu, Baada ya kuhanya sana huku na kule na kuona mipango ya kuweza kujenga mjini kabla ya kununua usafiri inazidi kwenda kombo kwa upande wangu, Nataka nijilipue tu ninunue gari ya watu wa...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom