Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Kutokana na wimbi la ongezeko ugaidi ukanda wa Afrika hasa Kenya, hii inatupatia nafasi sisi watanzania kuchukua tahadhari zote za kiusalama, ikiwemo kuwa macho na watu wasiofahamika,
Magaidi wamekuwa wakitumia
Mbinu mbali hasa kuwa karibu na wanachi lakini wakiwa na dhamira ya kufanikisha lengo leo.
Kila mwanachi lazima awe mlinzi wa mwenzake hasa pale anapogundua kuna kitu chochote kisicho cha kawaida sambamba na kutoa taarifa sehemu husika
Maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu ni vyema vyombo vya usalama kuweka vizuizi na check point na vifaa vunavyiweza kugundua silaha pamoja milipuko.