Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,164
- 1,520
Ndugu zangu wazalendo, kama swali lilivyoundwa, je, ni sawa kuwa kubalia ndugu zetu wa damu rafiki (Wachina) wajenge bandari kubwa kuliko zote Afrika, na kuimiliki kwa miaka kati 33 mpaka 99 bila kuwa bughudhi uko Bwagamoyo ' Bagomoyo, halafu tuue utendaji wa bandari zetu kongwe, Tanga , Dar es salaam na Mtwara na ujenzi wa reli ya kati wa kisasa almaarufu standard gauge rail(SGR)? Kwa maoni yangu binafsi 'si sawa' kuwa kubalia ombi lao. Karibu tujenge hoja.