Yabesi Consult Co Ltd
Member
- Jan 13, 2018
- 38
- 60
Yamkini umezunguka miaka na miaka kutafuta kazi nzuri ya ndogo yako umejaribu kutuma maombi kila application unayokutana nayo umejaribu kutoa sadaka kwa kila madhabau unayoiiua ili Mungu afungue mlango wa ajira lakini haujafanikiwa katikati ya kukat tamaa unapata kazi labda ya kujitolea au yenye kipatokidogo au ambayo haupendi usidharau kazi hiyo kwa sababu gani
Tunaposoma habari ya Stefano na Filipo katika kitabu cha Mdo 6, 7 . 21:8, Stefano pamoja na Filipo Mungu aliweka ndani yao karama ya uhubiri wa injili lakini kabla hawajafika huko, walikutana na tangazo la kazi anatafutwa muhudumu wa nyumba ya wahubiri wa injili, tunaona Stefano na filipo wanateuliwa kuwa wahudumu wa wanafunzi wa Yesu lakini walipo kuwa wanafanya kazi ya uhudumu Mungu aliweza kuonyesha karama aliyoweka ndani yao wakawa wahubiri wakubwa ingawa walianza kazi ya uhudumu.
Ukisoma habari ya Joshua, Joshua alikuwa ni msaidizi au unaweza sema mtumishi wa Musa amefanya kazi ya usaidizi kwa Musa miaka 40 wala hakujua kwamba Mungu alikuwa anampitisha shule ya uongozi ili Musa akiondoka yeye awafikishe wanawa Israeli kanani, kama Joshua asingekuwa na subira na uvumilivu asingekuwa kiongozi wa Israeli Kt 24:13
Yusufu pia anakataliwa na ndugu zao anauzwa na kupelekwa utumwani na uko utumwani anauzwa na kuwa kijakazi wa potifa, katika nyumba ya potifa mke wa potifa anamtilia vitimbi mwisho Yusufu anafungwa kwa kosa la kubaka, Yusu anakaa gerezani baadae anaotafsiri ndoto kwa mfalme anakuwa waziri mkuu , hivyo kama Yusufu asingekuwa na moyo wa uvumilivu asingeweza kuwa kiongozi juu ya familia yake.Mwz 37,-40
Tunaposoma habari ya Daudi anapakwa mafuta kuwa mfalme baada ya kupakwa mafuta anakuwa mpiga kinubi kwa mfalme?kama daudi asingekuwa na moyo wa subra asingeweza kuwa mfalme amepakwa mafuta akiwa na umri wa miaka 17 lakini ameanza kutawala na miaka 30 miaka yote hiyo 13 Mungu alikuwa anamwandaa 1Sam 16:13 na Isam 16:19
Unaweza kuwa umeanza kazi ambayo haukuipenda na cheo cha chini lakini amini Mungu amekusudia kukuinua kutoka hapo ulipo na kuketisha na wafalme usikate tama Mungu wetu sio wa lift ni Mungu wa ngazi , Mungu anakutoa kiwango kimoja kwenda kingine. Kunawatu walianzia chini katika maisha yao na leo ni watu wa kubwa kampuni ya vinywaji ya soda ya coca cola katika mwaka wa kwanza waliuza chupa za soda 24 tu, kama wangekata tamaa nakurudi nyuma wasiweza kuuza leo zaidi ya soda billion 1 kwa siku,.
Kama Elisha asingekubali kuwa mtumishi wa Eliya asingeweza kuwa nabii mkubwa baada ya Eliya, Haijalishi uko sehemu gani Mungu atakutoa huko uliko na kukuketisha juu pamoja na wafalme nakukuketisha na wakuu usivunjike moyo Mtu wa Mungu, Mungu anamakusudi mazuri juu ya mapito unayopitia 1 Fal 19:18