nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,056
Salaam, wandugu kuna mdada tuko kwenye mahusiano kwa mda sasa, kama wiki tatu zimepita nikiwa namgegeda style ya kuinama, namaanisha alikuwa amesimama ameinama ameshika kitanda nilimgegeda kwa dakika kadhaa hiyo style mpaka nilipofikia mshindo, nikiwa nakaribia kumaliza aliniambia nifanye taratibu anaumia so baada ya kumaliza nilivyochomoa nikaona damu kwenye uume kwenye kichwa, nilipata hofu yeye akawa ameingia bafuni kujiswafi alivyorudi akaniambia dear umeniumiza mbona naona damu nikamwambia mm pia naona damu kwenye mb..o.o any way nilioga na hatukuendelea tena nilipomuuliza labda yuko kwenye siku zake akasema hapa na alikuwa amemaliza period kama wiki imepita, tatizo tng wakati huo amekuwa akulalamika maumivu ya makali ya tumbo na anableed mfululizo, ameenda hospital amepewa Dawa lkn ameendelea kulalamika tumbo kuuma na ni wiki ya tatu sasa dam haijakata. Sielewi ni nn shida kuna wakati anapata maumivu mpk anashidwa kusimama, msaada wa ushauri tafadhari