Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanabodi, Nilikuwa nauliza na kujua gharama za kupaka rangi kwa mara ya pili gari ndogo. Kwa Dar es Salaam ni kampuni gani nzuri na gharama zake? Je kuna wachina wanaofanya hizi Kazi...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habarini, Mwenye gari semi kichanja inayoweza kupiga hadi bunjumbura anicheki tufanye kazi,zinatakiwa gari 20. Kutokea dar
0 Reactions
0 Replies
906 Views
BRT ni huduma ya mabasi ya mwendokasi ambayo hutumiwa na nchi mbali mbali duniani.Kwa lengo la kupunguza kero na kurahisisha huduma ya usafiri.Lakini hali imekuwa tofauti nchini.Huu mradi umekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzuqa Miaka ya nyuma 2007-2009 Kuna kamishna flani wa TRA bandarini Dar boti za Zenji zinapotia nanga alikuwa na nyodo, ngebe na dharau sana. Yanianatukana Kenge wewe kwa abiria akikagua mizigo ...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
*NAWAZA KWA SAUTI; KWA HIYO HILI LA BANDARI ZITTO ANGEKUWA KIONGOZI WA NCHI* 1.Angeshasaini fasta Wachina waanze ujenzi wa Bandari na kuzuia upanuzi wa Bandari zote katika ukanda wa Tanzania na...
17 Reactions
52 Replies
4K Views
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ni Silaha hatari sana, inaharibu kila kitu. Tunahitaji kuiweka teknolojia hii kwenye uangalizi madhubuti kama ilivyo kwa silaha za nyuklia. Tunahitaji...
2 Reactions
1 Replies
743 Views
Mko bize kujenda daraja la baharini kwani sie ni samaki? hebu oneni adha inayotupata wakazi wa jiji mpaka kufikia kufungwa kwa njia. AIBU SANA lile daraja la salenda kule watapita kina nani na...
7 Reactions
40 Replies
7K Views
Na Ahmed Rajab “KWETU kweli kuna mambo. Lakini ya kwenu yamezidi, wala usikatae,” alinambia wiki iliyopita mwanasiasa mmoja mashuhuri wa Uganda. Simtaji jina asije akaanza kuninyima uhondo wa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari waungwana? Napenda kushare nanyi hili jambo dogo ila lina impact kubwa katika ustawi wa taasisi, kampuni, shirika na hata maisha binafsi. Simu moja inaita, unaipokea hujamaliza maongezi ya...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limetangaza kifo cha Mhashamu,Askofu Mstaafu wa Jimbo katoliki la Mtwara,Gabriel Mmole aliyefariki dunia leo Saa 10 alfajiri 15...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Wakuu Nasema kwa dhati kabisa kwa uzoefu wangu kidogo kwenye biashara, unakuta unfuata taratibu kwanza mlolongo mrefu ili usajili biashara. Halafu kabla hata haujaanza biashara wanakua...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wizara ya Maji imesaini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 15.6 na Kampuni ya WAPCOS kutoka India ili kuanza kutekeleza mradi wa maji wa miji 29. Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Profesa Kitila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo kwetu kimetokea kituko cha dada yetu kutupia picha ya ngono kwenye status yake! Huyu dada ni wakala wa forodha Tunduma.....katupia video ya ngono kwenye status yake!
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari wakuu hii ni hospital inayojengwa toka miaka ya 80 huko mkoani Mara kwa ajiri ya kuwa hospital ya rufaa mpaka leo aijakamilika lakin chato uwanja wa ndege wa kimataifa umekamilika kwa mda...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imempa mfanyabiashara anayemiliki klabu mashuhuri ya Meku’s Bistro Bar & Restaurant muda wa saa 24 kuifunga klabu hiyo kwa kukiuka sheria za nchi. Klabu hiyo...
5 Reactions
95 Replies
21K Views
Hii ndio njia mpya na ya rahisi niliyoigundua itakayorahisisha kukomboa familia yako dhidi ya maonevu na vitisho ikiwa ni pamoja na ukombozi wa nchi yako . Kijana mdogo sana aitwaye Bob Chacha...
16 Reactions
54 Replies
5K Views
Nashukuru mungu sna (ALHAMDULLILAH) mwaka 2018, umekuwa mwaka wangu wa mafanikio kwan baada ya kupitia changamoto nying za maisha, kudharaulika , chuki na fitna . Hakika mwenyez mungu alikuwa na...
21 Reactions
83 Replies
8K Views
Huwa najiuliza ubaya wa bangi ni nini? Sipati majibu binafsi navuta halafu naanza kuwaza kwa kina ubaya wake nini? Sioni hata. Naenda navuta tena then nakaa sehemu nawaza ubaya wa bangi ni nini...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…