Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
Katoroka zoo au?Habari zenu ndugu wajumbe,TAARIFA KWA WANA KIBULULU,OFISI YA SERIKALI YA MTAA INAPENDA KUWATAARIFU WANANCHI WOTE KUWA KUNA CHUI AMEONEKANA MAENEO YA ZONE "C"KWA PROF.MSANJILA,HIVYO TUWE NA TAHADHALI WAKATI TUNAWASUBILI MAMLAKA HUSIKA KUFIKA NA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA.
*Note*; Kibululu ni Goba yale maeneo kupita La Stanza, Precious School km unatokea Makongo.View attachment 1096330
halaf watasingizia mvua ili wasitokewanaume wa dar watashinda ndani hadi waone maiti ya chui kwenye tv
Babe wako uyo ndo anatokea hukoWanaume wa goba mkuje
[emoji23][emoji23][emoji23]kazi anayo lolBabe wako uyo ndo anatokea huko
Atakuwa mwanaume wa makaburini Kolomije. Kule wanakochamba kwa kutumia magunziWewe ni mwanaume wa wapi?