Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali ilivyo sasa katika eneo la Mwenge jijini Dar es salaam, ambapo wafanyabiashara wadogo wametakiwa kupisha eneo hilo, kwa ajili ya upanuzi wa barabara.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Swaiba yangu alifikiria sana katika kuwekeza vitega uchumi. Yeye aliamua kujikita kwenye real estate. Huko nako aliwaza jinsi ya kupata kodi bila ya usumbufu hasa kwa usawa huu. Aliamua kuwa...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Nishukuru Kupata fursa ya kuleta hoja hapa jamvin naombe niende moja kwa moja kwenye hoja katika upande wa vijana wenzutu wa JKT katika mgomo wanaouandaa, kwanza nawapa pole wao na kiongozi wao...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Kama utani, kwenye social media, Wakenya wanaedit picha maelezo za Watanzania waliofanikiwa kwenye nyanja mbalimbali na kusema kwamba ni wa kwao. Unaweza sema hizo ni picha zimetolewa kwenye...
5 Reactions
79 Replies
7K Views
Kuna Kijana Mmoja ambaye nadhani kama kungekuwa na Shindano la Kutafuta Vibaka Bora Tanzania nzima nina uhakika kila mara angeibuka Mshindi ila baada ya Sisi Kaka zake na Wanajamii kila mara...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Hakika inashangaza sana Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PSSSF kutokutoa elimu kwa Umma juu ya shughuli zake.Mfuko huu ni Mpya mara baada ya kuunganisha Mifuko iliyokuwepo. Nilitarajia Uongozi wa PSSSF...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutoka Mtandaoni: MAMBO SABA IKIWA UNATAKA KUUKWAA UTAJIRI...KINYUME CHAKE NI MAMBO SABA IKIWA UNATAKA KUWA MASKINI/FUKARA: 1. Acha kuahirisha mambo Ujinga wa vijana wengi ni kuamini kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimekuwa nikiangalia baadhi ya season za kizungu Na miongoni mwa filamu hizo nimeona waigizaji wakitumia lugha ya kiswahili hasa Kwenye upande wa Ugaidi Miongoni Mwa filamu hizo ni...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
*Na Mwamba wa Kaskazini, Ngarenaro, Arusha.* KATIKA andiko langu la awali (ambalo cha ajabu tabia za Kichina zikaendelea ambapo wengi waliliiba na kuondoa jina na kujifanya lao), nilieleza...
7 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wakuu..... kwa wenye uzoefu wenye detail au walio soma Kozi hii, naomba msaada kujua maeneo yakufanyia field.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
1. Ukienda Kariakoo mtaa wa Congo unakuta watu wengi Kama kawaida mbanano uleule mpaka kupita inakuwa shida msongamano wa watu wakinunua vitu upo kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili. Kama huamini...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
BAADHI YA TABIA NA MUONEKANO WA MWANAUME ASIYE NA PESA!![emoji116]. 1. Viatu huisha upande mmoja 2. Huitika hata mara 5 akiitwa mara 1 3. Hukimbilia Remote akiwa ugenini 4. Hunywea maji kwenye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bishop Zachary Kakobe Jumapili hii ya tarehe 12/05/2019 kuanzia mida ya saa sita mchana atatua ndani ya kanisa la ufufuo na uzima lililo chini ya Bishop Josephat Gwajima. Hawajaweka wazi lengo la...
1 Reactions
150 Replies
18K Views
Wakati wa kutangaza mshindi wa kusoma kurani mwaka huu uwanja wa taifa Leo mwongoza shughuli alitangaza kuwa mshindi wa kwanza wa kusoma kurani mwaka huu katokea nchi ya Niger akamtaja na jina...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanajamvi, naomba ushauri kwa haya nipitiayo..... Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya 80, na kumkuta mzee wangu akiwa na familia ya wake wasiopungua wanne, kati yao mama angu akiwa mdogo kabsa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtu mmoja amefariki na wengine 15 kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali baada ya basi la kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Iringa kwenda Mbeya kugongana na Lori katika msitu wa sao hili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kinondoni, mwananyamala, magomeni na pia ilala ndo zinaongoza kwa kutoa mashoga wengi kwa hapa Dsm. Kinondoni ndo Balaa zaidi. Kuna tatizo la kimsingi nadhani serikali ifuatilie kwa kina. Mimi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tatizo baadhi ya watu wanazani bila maneno matamu kuwaeleza wananchi hawawezi kuchaguliwa? Nakumbuka kipindi unafunga kampeni pale (CCM KIRUMBA MWANZA)Ulilalamikia utozwaji wa ushuru kwa...
1 Reactions
3 Replies
894 Views
Maisha ya simba ni ya ajabu sana! Simba jike ndiye anaetafta chakula, anawinda kwa ajili ya watoto na dume lake! kazi kubwa ya simba dume ni kupanda jike na kulinda dhidi ya maadui! Simba dume...
5 Reactions
55 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu! Nimekutwa na mkasa unaohusu eneo langu la biashara lililo kando ya barabara. Nina nyumba ambayo kwa mbele kuna vyumba vya biashara (frame) ambazo zina wapangaji. Zipo frame...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…