ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,403
1. Ukienda Kariakoo mtaa wa Congo unakuta watu wengi Kama kawaida mbanano uleule mpaka kupita inakuwa shida msongamano wa watu wakinunua vitu upo kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili. Kama huamini nenda siku yoyote mchana utakuta watu kama wote wanaendelea kununua mazaga. Ingekuwa pesa hakuna basi ungekuta watu kiduchu hata nafasi ingekuwepo ya kutosha
2. Nyumba zinaendelea kujengwa Kama kawaida. Nenda nje ya mji hasa maeneo ya Chanika na Bagamoyo watu wanaendelea kudondosha viberiti vya maana sehemu ambayo palikuwa Chaka miaka mitatu iliyopita Leo hii ukienda hutaamini kukuta majengo na mafundi Kama kawaida site
3. Watu wanakunywa bia na wanalewa Kama kawaida. Masela masikini waliokuwa wanakunywa viroba vya buku leo hii wameendelea wanakunywa kuanzia 2000 spirit na vodka za ml 200. Ukienda kwenye baa nako unakuta magari kibao yame-pack watu Wana have fun Kama kawa. Nenda bar za Tabata au Kimara uthibitishe ninachokwambia. Njoo Micasa ya Tabata Magengeni uone ilivyojaa mpaka viti vya kukaa vimeisha. Nenda 40 40,nenda the Great Park uone watu wanavyokula kuku na mbuzi wa kuchoma. Sanasana bar ambazo hazina ubora ndo zinajifunga zenyewe kama Zambezi ya Riverside imeshindwa ushindani wa huduma so inaenda kufa. Ndivyo ilivyo hata duka lilikushinda jiandae kulifunga.