PSSSF itoe elimu kwa umma juu ya shughuli zake

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,461
2,000
Hakika inashangaza sana Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PSSSF kutokutoa elimu kwa Umma juu ya shughuli zake.Mfuko huu ni Mpya mara baada ya kuunganisha Mifuko iliyokuwepo.

Nilitarajia Uongozi wa PSSSF kupitia Afisa Habari wake angekuwa anatoa elimu kwa umma kupitia Vituo mbalimbali vya Televisheni na Redio kwani Umma ungependa kufahamisha mambo mengi yahusuyo Mfuko huu.

Pia umma ungeweza kuuliza maswali mengi juu ya utendaji wa PSSSF.
 

Magna Carta

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
4,081
2,000
Ni kweli kabisa, pia wajitahidi kutembelea sehemu ambazo hazina ofisi kwa utaratibu watakao panga wao, kingine hawa wakuu wao wa Vitengo watoe namba zao za simu na wakipigiwa wawe wanapokea, mambo mengine hayahitaji kupanda basi kwenda kuhitaji ufafanuzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom