Kuna Ukweli Hapa?

Kuna Ukweli Hapa?

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
472
Reaction score
424
BAADHI YA TABIA NA MUONEKANO WA MWANAUME ASIYE NA PESA!![emoji116].
1. Viatu huisha upande mmoja
2. Huitika hata mara 5 akiitwa mara 1
3. Hukimbilia Remote akiwa ugenini
4. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
5. Suruali kunasa kwenye makalio mara kwa mara
6. Tone la mkojo kwenye suruali baada ya kujisaidia
7. Chakula kuruka mdomoni pindi anakula
8. Kufungua soda/bia kwa meno
9. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
10. Kuangalia movie zilizotafsiriwa
11. Kufuta jasho kwa vidole
12. Kupiga mihayo hadi machozi
13. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
14. Kushuhudia matendo machafu kama vile Kuku, Mbwa, Bata kufanya mapenzi mbele yake..na hii inatokana na hata wanyama kukudharau sababu huna PESA[emoji124][emoji125][emoji125][emoji23]
 
Utafiti umefanya kwa watu wangapi

Lazima tujue umefanya utafiti huu mkoa gani, sample size watu wangapi??

Hahaaaa
 
Aisee... mimi nilijua serious kumbe kichekesho.. Apo mwisho ndio nimejua ni utani... ila mwanzoni kama kweli vile
 
Fanya utafiti na Wanawake wasio na Pesa...

1 . Wanapenda shughuli (Vigodoro) zaidi ya kazi.

2. Katika Mavazi yao Madera na Nguo Nyeusi za Msibani ndio zimetawala Kabatini.

3.

4.

5.

Endelezeni Wanaume wenzangu, maana hii ni Vita sasa...[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu umetisha ila kuna points zina ukweli hapo sasa hyo namba tano anakua hana boxer au inakuwaje mkuu ufafanuzi tafadhali
 
Hahaa..namba 12 mbona hata wenye pesa wanayo hiyo tabia??
 
Back
Top Bottom