Maeneo ya field Kozi ya Bsc in Agriculture general

Jan 26, 2019
11
45
Habari Wakuu.....
kwa wenye uzoefu wenye detail au walio soma Kozi hii, naomba msaada kujua maeneo yakufanyia field.
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
925
1,000
Mabishoo huenda wizara ya chakula na kilimo kufanya kilimo kwenye makaratasi lakini kama wataka ujuzi, nenda taasisi za utafiti wa mazao kama kahawa, korosho, miwa, mazao ya mizizi. Google, andika taasisi ya utafiti wa zao husika. Miradi ya umwagiliaji n.k. zipo Arusha, moshi, mwanza, morogori, kibaha, mtwara n.kOTE="Patrick J Malema, post: 31429278, member: 535577"]
Habari Wakuu.....
kwa wenye uzoefu wenye detail au walio soma Kozi hii, naomba msaada kujua maeneo yakufanyia field.
[/QUOTE
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,015
2,000
Pumbafu yani second year mzima chuo kikuu ujui kozi yako inaitajika wapi upo unasoma tu hivi hata huo weredi utapata kweli yani bila aibu unakuja JF tuuliza site hapo chuo huna wakufunzi huna group mate wako

Mnatia aibu sana vijana wa leo mwingine juzi kanipigia sm anauliza ajui field atafanyia wapi nikamuuliza kwanini eti ajui ofisi gani apeleke barua ya kuomba field nikabaki mdomo wazi nikasema hata nikikwambia ofisi furani ukitoka utafanya nini maana inaonekana ujui unataka ukajifunze nini yani kidogo ni mwambie leta kwangu hiyo barua ili akija nimpe kazi ya usafi wa ofisi tu

Ushairi wangu unachotaka tukusaidie hapa rudi kamuulize mkufunzi wako au group mate zako
 
the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,813
2,000
Ni muda sasa serikali haijatoa ajira kwa kada ya kilimo, hivyo tafuta field sehemu kama ni kampuni, mradi ambao unafahamu wanaweza kuuona ubora wako na mwisho wa siku ukimaliza chuo wakakuajiri, ukienda taasisi za kiserikali utakua umepoteza muda tu maana hawatokufaa kwenye ajira. Kua makini na tambua mapema unataka nini bila hivyo utakuja kuteseka sana baada ya kumaliza chuo. Ahsante
 
Jan 26, 2019
11
45
Aah shukrani kwa ushauri wako na maneno makali,lakini Mkuu mbona una moka mno....dhumuni la kuuliza Ni kuongeza maarifa na kupata detail mbalimbali ilikufanya maamuzi sahihi. Ndio maana waAfrica atuendelei tunapenda lawama na kuponda tu...
Pumbafu yani second year mzima chuo kikuu ujui kozi yako inaitajika wapi upo unasoma tu hivi hata huo weredi utapata kweli yani bila aibu unakuja JF tuuliza site hapo chuo huna wakufunzi huna group mate wako

Mnatia aibu sana vijana wa leo mwingine juzi kanipigia sm anauliza ajui field atafanyia wapi nikamuuliza kwanini eti ajui ofisi gani apeleke barua ya kuomba field nikabaki mdomo wazi nikasema hata nikikwambia ofisi furani ukitoka utafanya nini maana inaonekana ujui unataka ukajifunze nini yani kidogo ni mwambie leta kwangu hiyo barua ili akija nimpe kazi ya usafi wa ofisi tu

Ushairi wangu unachotaka tukusaidie hapa rudi kamuulize mkufunzi wako au group mate zako
 
Jan 26, 2019
11
45
Mabishoo huenda wizara ya chakula na kilimo kufanya kilimo kwenye makaratasi lakini kama wataka ujuzi, nenda taasisi za utafiti wa mazao kama kahawa, korosho, miwa, mazao ya mizizi. Google, andika taasisi ya utafiti wa zao husika. Miradi ya umwagiliaji n.k. zipo Arusha, moshi, mwanza, morogori, kibaha, mtwara n.kOTE="Patrick J Malema, post: 31429278, member: 535577"]
Habari Wakuu.....
kwa wenye uzoefu wenye detail au walio soma Kozi hii, naomba msaada kujua maeneo yakufanyia field.
[/QUOTE
Asante Sana mkuu umeniongezea kitu kikubwa....ubarikiwe Sana 🙏🙏
 
Jan 26, 2019
11
45
Ni muda sasa serikali haijatoa ajira kwa kada ya kilimo, hivyo tafuta field sehemu kama ni kampuni, mradi ambao unafahamu wanaweza kuuona ubora wako na mwisho wa siku ukimaliza chuo wakakuajiri, ukienda taasisi za kiserikali utakua umepoteza muda tu maana hawatokufaa kwenye ajira. Kua makini na tambua mapema unataka nini bila hivyo utakuja kuteseka sana baada ya kumaliza chuo. Ahsante
Yaap Asante Sana mkuu...umenifungua mind!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom