Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali ya barabara za kata Mbagala in mbaya sana,ujenzi uliosemwa ungeanza mwezi machine 2018,Hadi leo bado hats ukarabati haufanyiki,viongozi idara ya uhandisi temeke kimya,wawakilishi wetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilianza kutumia applications za weather forecasting zamani kidogo.Nimetumia kwa mfano Weather Channel ambayo imekuwa msaidizi wangu mkuu hasa kwenye Kilimo kwa kuwa siku hizi hali ya hewa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Basi la Fikoshi lenye namba za usajili T 872 CJQ linalofanya Safari zake kati ya Karagwe na Mwanza limegonga tembo eneo la Byenturege Kitengure Wilayani Karagwe likitokea Mwanza. Eneo hilo ni...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Katika hali ya kushangaza mgambo Hawa wamempiga mwanafunzi pasipo kujali swala la afya je wanayo mamlaka ya kutoa adhabu hizi hata kama mtu kakosea tujiulize Abdul Nondo saidia hili
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Ndugu nyanda badilika unaharibu kipindi.
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Je! Wasumbuliwa na huyu mdudu mwenye karaha na maudhi tele...? Kama ndio usihofu dawa ama sumu ya kumuangamiza ni rahisi sana, nenda duka lilokaribu nawe nunua mijali miwili ya mafuta ys taa kisha...
12 Reactions
71 Replies
32K Views
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema dawa za Caripill na Papaya Platelet Booster hazitibu Homa ya Dengue kama inavyodaiwa. Pia dawa hizo hazijasajiliwa hivyo ubora, usalama na ufanisi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jF! Jambo moja ni hakika, MAJI ndilo hitaji kubwa zaidi la wananchi wanaoitwa 'wanyonge' hasa wa vijijini baada ya mazao ya Chakula. Nimeishi kijijini nimeshuhudia hili. Wakati wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi huwa wanapata faida au furaha gani wanapokusumbua? Just imagine mtu anahakikisha usiku hulali, ni mwendo wa kukuchezea mahepe tu nkusugua na matako yake. Je, wanafaidika na nini? Unakuta...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu sasa channels nyingi za habari na burudani hazipo kwenye vingamuzi vyetu mf azam, jambo hili limetufanya kuhamia Chanel za Kenya ili kuangalia habari,mijadala mbali mbali na...
2 Reactions
2 Replies
791 Views
Ni kwanini Kibaka yoyote akiwa ' anakimbizwa ' na Polisi na akibahatika tu Kukimbilia kwenye Kambi yoyote ya Jeshi (JWTZ) basi wale Polisi wote nao hunywea, hugeuza walikotoka na kurejea Vituoni...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari ya leo ndg, samahani kuna Bwana Mmoja naomba nimpatie namba yako Yeye anatoka Katavi mkoa mpya yuko na wenzake anakuja kununua vtu vya ktamadun Sasa akawa ameniomba nmtafutie mtu mwaminfu...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Tumeshuhudia mradi wa Bandari ya Bagamoyo ikikataliwa kutekelezwa kwa sababu ya masharti waliyoweka Wachina kama kujipangia tozo, kusamehewa VAT, Kodi ya mapato, kodi ya huduma, wafanyakazi wao...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JE KUJENGA TU FENSI NI UENDELEZAJI ARDHI KISHERIA ?. Na Bashir Yakub. +255 784 482 959 Sote tunajua kuwa kutoendeleza ardhi adhabu yake ni pamoja na kufutiwa umiliki. Kufutiwa umiliki maana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hili suala ama ni hujuma za waziwazi ama za chini chini za mabenki haya kwa Uchumi wa Nchi yetu. Nimeenda kwenye tawi la benki ya CRDB Kibamba yalipo makao makuu ya wilaya ya ubungo.! Kuhitaji...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Ni takribani wiki sasa sina umeme fundi amekagua akagundua tatizo liko kwenye Mita,kwamba umeme unaingia lakini hautoki Tumetoa taarifa TANESCO Kibamba wakasema fundi atakuja na wakatupatia namba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilipita maeneo ya Rafia/afrikana/mbezi nikakuta ambulance ikiwa na mgonjwa mahututi imezimika, wakiwa wanatengeneza, nikawashauri wafaurishe mgonjwa; lakini nimeenda hadi bagamoyo nimerudi mda...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Pata picha mwanaume mwenzio kukuita My au wangu hii imekaaje wananzengo.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza kabisa naomba mnipe pole wanajamvi kabla hata ya kutoa maelezo yoyote yale. Leo mida ya saa 6 mchana hv nlikua nakatiza mitaa flani hapa znz nikiwa natafuna zangu vikaranga tu vichache...
11 Reactions
175 Replies
11K Views
Wakuu habari za asubuhi, Straight to the point,. Leo nimeota ndoto NATEMBEA JUU YA MAJI BAHARINI, je kwa wale wajuvi wa haya mambo hii ndoto ina maana gani? nitashukuru sana kwa ufafanuzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom