Bishop Kakobe Kutua Kanisa la Gwajima Jumapili Hii

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,310
Bishop Zachary Kakobe Jumapili hii ya tarehe 12/05/2019 kuanzia mida ya saa sita mchana atatua ndani ya kanisa la ufufuo na uzima lililo chini ya Bishop Josephat Gwajima.

Hawajaweka wazi lengo la ziara hiyo japokuwa chanzo kinaweza kuwa skendo ya video chafu za Bishop Gwajima.

Screenshot_20190511-015810.jpg
 
Tunapata taabu bure tu, weka pemben ile vidio clip ...alafu gwajima aulizwe maswali yafuatayo
1.yule dada knye vidio anamjua au hamjui
2.je amewah kutana nae popote, nje ya kanisan
3.je amewah wasiliana nae kwa ishu yoyote ile..... baada ya hapo police ndipo wajiridhishe na majib haya !!!kupitia hilo kesi itakuwa isha isha.... la sivo maneno yatakuwa meeengi mengi
 
TCRA watafute kama kumewahi kuwa na mawasiliano kati ya yule binti na Gwajima, then one can speculate, short of that.......
 
Back
Top Bottom