Bunda: Apoteza sehemu za siri akiwa mikononi mwa polisi

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,873
14,302
Mkaazi mmoja Wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara amejipata katika matatizo baada ya nyeti zake kupotea akiwa kituo cha polisi

Shuhuda Wa tukio aliiambia redio Bunda FM kuwa mtuhumiwa alifikishwa kituoni hapo kwa tuhuma za kutaka kumbaka mama mmoja ambaye jina lake limehifadhia kwa sababu za kiusalama,shuhuda ameiambia Redio Bunda FM kuwa baada ya kelele za mwanamke kuomba msaada wananchi walijitokeza na kuanza kumshambulia mtuhumiwa ambapo aliokolewa na polisi baada ya mwenyekiti Wa mtaa kuwapigia Simu polisi

Bunda FM ilipata muda Wa kuon gea na mtuhumiwa ambapo alidai kuwa alifikishwa kituoni hapo akiwa na nyeti zake lakini Mara alianza kupigwa na polisi hali iliyopelekea kupoteza fahamu na kijipata akiwa hospitali ya wilaya bila nyeti zake

Naye baba mzazi alipohojiwa alidai kuwa alifika katika kituo cha polisi ili kudai nyeti za mwanaye ili akazizike kulingana na mila za kabila lao lakini alishangaa kuambiwa kuwa hazipo .

Source Bunda FM.
 
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom