Hawa vijana 200 TTCL walioajiri ni wapi?

Hawa vijana 200 TTCL walioajiri ni wapi?

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,661
Aisee nimesikitishwa na habari ya TTCL kuhusu kuajiri vijana 200. Mimi binafsi katika hangaika zangu za kutafuta ajira niliweza kuandika business proposal yangu nzuri tu. cha ajabu sikuwahi hata kuitwa na pia website yao haikuwahi kuweka hizo vacancy za fresh graduates. Dah...ila fresh tu
 
Back
Top Bottom