Ukiwa 'fair' unachelewa, ukiwa 'rough' unawahi. Kwanini?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,475
Reaction score
11,674
Mi hata sielewi..

Ukiamua uuze biashara yako kihalali ikiwemo kulipa kodi na mengineyo unaishi kuumia lakini wale wenzio wanaokwepa kodi wanawin

Ukiamua kutafuta pesa kihalali inachukua muda mrefu kufanikiwa lakini gangsters, drug dealers, biashara za magendo wanafanikiwa ndani ya muda mfupi

Ukiamua kuishi kwa kiajira chako unachelewa, lakini wenzio wadangaji wanatusua huku wanakuacha nyuma

Walio rough wanafanikiwa mapema kuliko walio fair.
 
Kwenye maisha fanya kile ambacho moyo wako unapata furaha huku ukimuamini mungu na kutofanya yote anayokataza,hayo ndio mafanikio ya kweli. Hata masogange,binti kiziwi,mpakanjia,etc walikua ma drug dealers wazuri sana.

Lakini Kuna watu tangu mwaka 1980 hawajawahi shika millions 1 Tsh ya pamoja,lakini wanafuraha tu wala hawaoni ugumu wowote wa haya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidanganye na ujipe faraja...
utachelewa sana...!!

Naungana na mleta mada..
Kwenye maisha fanya kile ambacho moyo wako unapata furaha huku ukimuamini mungu na kutofanya yote anayokataza,hayo ndio mafanikio ya kweli.............hata masogange,binti kiziwi,mpakanjia,etc walikua ma drug dealers wazuri sana.
Lakini Kuna watu tangu mwaka 1980 hawajawahi shika millions 1 Tsh ya pamoja,lakini wanafuraha tu wala hawaoni ugumu wowote wa haya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maisha fanya kile ambacho moyo wako unapata furaha huku ukimuamini mungu na kutofanya yote anayokataza,hayo ndio mafanikio ya kweli.............hata masogange,binti kiziwi,mpakanjia,etc walikua ma drug dealers wazuri sana.
Lakini Kuna watu tangu mwaka 1980 hawajawahi shika millions 1 Tsh ya pamoja,lakini wanafuraha tu wala hawaoni ugumu wowote wa haya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu..
Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi hata sielewi..

Ukiamua uuze biashara yako kihalali ikiwemo kulipa kodi na mengineyo unaishi kuumia lakini wale wenzio wanaokwepa kodi wanawin

Ukiamua kutafuta pesa kihalali inachukua muda mrefu kufanikiwa lakini gangsters, drug dealers, biashara za magendo wanafanikiwa ndani ya muda mfupi

Ukiamua kuishi kwa kiajira chako unachelewa, lakini wenzio wadangaji wanatusua huku wanakuacha nyuma

Walio rough wanafanikiwa mapema kuliko walio fair.
Aggyjay nilijua waongelea kupanda kileleni[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kifupi katika maisha wanao take risk kubwa huwa wanapasua kirahisi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom