Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Taasisi ya HakiElimu yatwaa tuzo ya jumla ya Asasi za Kiraia barani Afrika kwa kuwa mstari wa mbele kupigania ustawi wa elimu
Tuzo hiyo inajulikana kama The African Civil Society Excellence hutolewa na taasisi ya Epic Africa na hushindaniwa na Asasi zaidi ya 300 kutoka mataifa 46
Kabla haijatangazwa kuwa mshidi wa jumla tayari HakiElimu ulikuwa imejinyakulia tuzo katika vipengele vya Uwajibikaji na Uwazi
Taasisi ya HakiElimu inajishughulisha na harakati za kuleta mabadiliko kwa kuboresha elimu ya Msingi na Sekondari