Wajumbe wa CHMT wavuliwa uongozi

Wajumbe wa CHMT wavuliwa uongozi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611

Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima, amewaondoa katika uongozi wajumbe wanane wa timu ya uendeshaji na usimamizi wa huduma za afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida kwa kushindwa kuwajibika kikamilifu katika kutekeleza wajibu wao wa msingi.

Akiwa kwenye ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida kukagua utendaji kazi wa watoa huduma za afya Mkoani hapo leo Dkt Gwajima amewataka waendelee na majukumu yao ya kitaaluma kwa mujibu wa ajira zao badala ya majukumu ya uongozi hadi hapo itakapoelekezwa vinginevyo.

Dkt. Gwajima amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Victorina Ludovick kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuteua timu ya mpito hadi hapo uchambuzi wa kina cha uzembe utakapofanyika kwa ajili ya hatua zaidi.

Ameagiza timu iliyopumzishwa majukumu ya uongozi kutoa maelezo ndani ya siku 7 kwanini walishindwa kusimamia kikamilifu utendaji kazi wa kituo hicho na kwa nini wasivuliwe majukumu ya uongozi jumla.

Vilevile, amemtaka Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida na timu yake nao kutoa maelezo kwa nini wameshindwa kubaini uzembe wa uwajibikaji wa timu ya usimamizi na uendeshaji huduma wa Halmashauri ya Wilaya hiyo na kwa nini nao wasiwe sehemu ya kuchangia tatizo.

Dkt. Gwajima ameitaka timu ya afya Mkoa kutoondoka Manyoni hadi changamoto zote zinazohitaji hatua za haraka zifanyiwe kazi na watoe taarifa Ofisi ya Rais, TAMISEMI ambayo itarejea kwa ukaguzi wa kina katika Halmashauri hiyo.

Aidha, Dkt Gwajima amewapongeza watoa huduma walioko mawodini kwa kujituma katika kuhudumia wagonjwa.
 
hajui hata kazi na majukumu ya CHMT huyo gwajim.
CHMT hawajengi majengo/ kazi ya kujenga wanafanya PMU na uhandisi wao ni beneficoary department tu
nitazungumza mengi ngoja niache. pia wazir akumbuke kuwa wajumbe wengi wanaingia mule kwa nafasi zao na sio kwa matakwa ya DEDCCM.M.
1 DMO
2.DNO
3.DHO
4.DHS
5.DP
6.DLT
7.DDO
8.DSWO
Ukiwasimamisha kwa muda mbadala wake ni nani?
 
Huyu anapiga kelele sijajua ana focus gani

Dr.Chaula aliweka nguvu ujenzi was but vya afya na hospitali kaacha alama ya kudumu ila huyu namsikia kwa vyombo vya habari anafokafoka tu

Wasukuma bana, wanapenda camera na kila wakienda sehemu wanakuza matatizo badala ya kutatua!
 
Je walipewa vitendea kazi?
Je wamepewa nafasi ya kujitetea kwanini hawakufanya alivyotaka?
Je viongozi wa juu yao waliulizwa kwanini utendaji wao umekuwa hafifu?
Isiwe kuwa ni mwendo wa kufukuza watu ili kuonekana yupo kazini
 
Miss Zomboko nilikua nakuona mtoto wa kishua. Kumbe uko Manyoni ba si ajabu meno yametia rangi ya udongo. Huko mbuzi bei gani? Ramadhani haiko mbali
 
hajui hata kazi na majukumu ya CHMT huyo gwajim.
CHMT hawajengi majengo/ kazi ya kujenga wanafanya PMU na uhandisi wao ni beneficoary department tu
nitazungumza mengi ngoja niache. pia wazir akumbuke kuwa wajumbe wengi wanaingia mule kwa nafasi zao na sio kwa matakwa ya DEDCCM.M.
1 DMO
2.DNO
3.DHO
4.DHS
5.DP
6.DLT
7.DDO
8.DSWO
Ukiwasimamisha kwa muda mbadala wake ni nani?
KILA ZAMA NA KITABU CHAKE
 
Back
Top Bottom