Wakuu , salaaam Sana hii tv Ni Samsung inch 47 niliipeleka kwa fundi maana ilizima ghafla na baada ya kutengeneza kuja kufunga home nikiwasha inaonyesha hivyo ila upande wa movie Kama nikiweka...
Haya ni Mabasi ya Kenya kama sikosei ingawa yapo yenye usajili wa Tanzania na wana root ya Dar to Nairobi na kwa kenya wana safari kibao ikiwemo Nairobi to Mombasa.
Haya mabasi kwa kweli ni veru...
Ni sehemu ya maneno/meseji niliyotumiwa mda huu na namba ya mtu ninaye mdhania ni tapeli!
Swali langu,je,hawa watu wamerejea tena kwa gia mpya na ya kasi namna hiyo?
Chonde chonde Jeshi letu la...
Wanangu tutafuteni pesa. Uhuru wa kweli ni Financial freedom, uhuru mwingine wowote ni illusions tuu.
Weka mipango yako vizuri,kumbuka kuweka akiba na kuwekeza.
Ukiwasikiliza watu kutokana na Google kuwafutia Leseni Huawei, wengi wao watakuambia; Simu bila Youtube; hapana aisee!!!
Kwanza nina kila sababu ya kuamini talaka hii ya Google kwa Huawei ni...
Naamini wengi wetu tupo kwenye daraja la kujikomboa kutafuta pesa ya kujenga makwetu huku bado tukiwa ndani ya nyumba za wenzetu(tumepanga)
Na pia ni kwa wale ambao wapo njiani kuelekea kupanga...
Habarini za mchana ndugu zangu wa JF
Niende moja kwa moja kwenye mada pasipo kupoteza wakati, kumekuwa na michezo hii hasa hasa hizi biashara za online kama vile bitclubadvantage, etc...
wasalaam wananzengo. eti jamaa atalipa sh ngapi kwa serikali au kifungo cha muda gani?
Picha: mikumi.
Muda wa ajali : Saa tano asubuhi
Dereva amepona ila kakimbia hajulikani alipo hadi sasa.
Mwanamama Mmoja huko nchini Uingereza amempongeza sana Marehemu Mumewe hadi kumuita ' Shujaa ' hasa kwa Kitendo chake cha ' Kumficha ' kwa miaka 64 kuwa Yeye ( Mumewe ) alikuwa ni Mwana Usalama wa...
Hapa maeneo ya Ngulelo kuna nguzo ya umeme inatoa cheche na kusababishia shoti na cheche kutoka baadhi ya nyumba ila tanesco hawachukui hatua.
Hii ni kama ushahidi ili tutakapo dai fidia ya mali...
Wanaitwa SEAHORSE Hawa ni wanyama wasio na uti wamgongo wanaopatikana katika bahari ya pasific Kitaalam anaitwa "Hippokompus"
Jina hili ni la kigiriki likimaanisha "hippo" horse na "kompus"...
Ndugu najamaa zangu nahitaji kuhamia Africa kusini Capetown, ila sasa sina paspot, je process zakuipta paspot zinaweza nichukua mda gani mpaka kuipata? Na vipi nikishaipata nakuwa nahitaji kingine...
Naitwa Goodluck naishi Dar es Salaam. Nimezaliwa mkoani Ruvuma wilaya ya Tunduru mama yangu anaitwa Lucy Kitessy.
Namtafuta baba yangu mzazi jina Deogratus Rweyendera ni mhaya. Popote alipo...
Msongo wa mawazo kwa kupoteza kazi au kufiwa na mtu wa karibu unaumiza sana. Rafiki yako au ndugu yako akiwa katika hali hii, ukimfariji na pombe kuna hatari ya kuifanya pombe pombe kuwa tegemezi...
Nimejaribu kulinganisha gharama za ujenzi wa hizi flyovers na gharama ya hasara inayosababishwa na foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi, kwa kweli mzani umepinduka kabisa, kwa kifupi...
Bongo tunapendwa sana na Mungu Baba Mwenyezi. Kuna vitu alituletea kwa njia za Roho Mtakatifu. Yaani alitubariki kwa utajiri wa vitu vilivyoshuka kimiujiza. Unakumbuka vichwa vya treni? Ghafla tu...
Binti mwenye umri wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Kashenge iliyoko katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, amelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa...