Wakuu,
Kama mnavyojua matumizi ya simu yamekuwa makubwa kwasababu ya kukua kwa huduma za mitandao na hivyo mambo mengi kufanyika kupitia simu za kiganjani.
Je tumewahi kupata taarifa za kiafya...
Kichwa kikubwa cha habari katika Mwananchi leo Jumapili ni "Lishe ina uhusiano na akili ya mtoto"
Mtaalamu anasema wakati mwingine unaweza kukimbazana na mtoto darasani kwa kuona haelewei kumbe...
Mbali na watoto,wanawake ni kundi ambalo linahitaji utetezi kutokana na kadhia wanazokutana nazo kila siku.
Mbali na majukumu makubwa ndani ya familia,wanawake wamekuwa wakikutana na mazingira...
Maisha magumu acheni tulalamike sisi wanaume nyie maisha yenu ugumu unatoka wapi? tusemeni tu ukweli mpo online saivi ila 70% bundle mmetumiwa na wapenzi zenu/wazazi wenu sasa nyie maisha magumu...
Kweli waswahili husema " pema usijapo pema, ukipema si pema tena" binafsi kazi niayofanya naipenda ila siifurahii.
Suala kubwa ni kutokua na muda wa kutosha kufanya mambo mengine kama ya kijamii...
USHINDI KWENYE MAZINGIRA.
Tunapenda kuipongeza serikali kupitia kauli ya Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kwenye kuhitimisha bajeti ya ofisi yake bungeni hapo jana tarehe 09.04.2019 kwa kuweka...
Katika hali mbaya tulinayo ya kiuchumi,kuna Maaskofu ambao wanatumia vibaya pesa za waumini na kuongeza mzigo wa michango. Askofu Amani wa jimbo katoliki la Moshi ambae ni msimamizi wa kitume...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amezindua Mpango Kabambe wa Uendelezaji Mji wa Tabora wa miaka ishirini na kuzitaka mamlaka husika wakiwemo Madiwani kuhakikisha...
Tatizo la takataka mtaani lina kera sana. Unaweza kujitahidi mazingira yawe bora ndani ya uzio wa nyumba yako, lakini ukitoka nje ya uzio unakutana na mabox matupu ya juice, karatasi, makopo...
Nimecopy na kupest kutoka kwa Mwalimu Christopher Mwakasege
Mwaka 2007 mwezi wa Desemba, tukiwa nchini Israel, Mungu alisema nasi juu ya kuwahimiza watu wake wajiunganishe na nchi ya Israel...
Wana Jamvi msambaratiko wa mahusiano ongezeko la uvunjifu wa ndoa na mambo mengine yananisukuma kuona fursa.
Na ninawazo La kufungua Collage itakayofundisha mahusiano na mapenzi (jinsi ya...
Habarini za kuamka wakuu,
Kwenye hoja moja kwa moja,
Kitu ambacho nimekigundua hivi karibuni ni kwamba kwa mwaka 2018/2019 hakuna kabisa ugonjwa wa kipindupindu tofauti na miaka ya nyuma...
Hapo vip!!
Kwa watu wenye kuelewa au watu ambao walikwishwa andika vitabu.
Katika Nchi yetu ili uwe mmiliki halali wa kitabu chako, unapaswa ufanye nini au ufate taratibu zip..
Je, watu au...
Watanzania hao wanashikiliwa na mamlaka za Kenya katika Kaunti ya Kilofi kwa tuhuma za kuvuka mipaka ya uvuvi naona ya Kenya na Tanzania
Wamekamatwa katika maeo ya ziwa ya Kilifi, Watamu, Wesa...
Hello my Gentleman and Ladies,
Nina ujumbe wa kuwaelezeni kwa wale ambao ndio kwanza wanaanza kuagiza mizigo nje ya Tanzania kwa hizi conteiner za 40" au 20".mimi niliagiza conteiner from India...
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imesema hadi sasa hakuna dawa waliyoisajili kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa dengue.
Taarifa ya mamlaka hiyo iliyotolewa jana Jumatatu Mei 20, 2019 katika...
Tafadhali wahusika wa Soko la Kigamboni hebu chukueni hatua za makusudi kulikarabati Soko hilo kabla Magonjwa ya mlipuko hayajatokea.Soko halina mifereji ya kutoa maji,soko limejaa tope,Bidhaa...