Ukitaka ujue Movie unazoangalia ni za uongo au za kweli

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Unafanyaje mfano ukifika hapa unakutana na hawa viumbe, kama ni wewe unafanyaje ebu tupe ma ujuzi hapa.

60929519_2157632340952383_244485223708884992_n.jpg
 
#Yasser Minja Bora ukutane na Simba ila sii hao jamaa, Sio kwamba ni wakali sana Ila tatizo lao ni walaku mnoo
Hata km wameshiba lkn hawatokuacha ivi ivi asee Watakuachia ata majeraa na ndo pona pona yako
 
Muv za ukweli ni x na bongo muvi mana ata jini anakuwa atishi sana utakuta kavaa ndala na mikono katanua
 
Back
Top Bottom