Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,778
Hello my Gentleman and Ladies,
Nina ujumbe wa kuwaelezeni kwa wale ambao ndio kwanza wanaanza kuagiza mizigo nje ya Tanzania kwa hizi conteiner za 40" au 20".mimi niliagiza conteiner from India la bidhaa za kuuza lilipofika tu dar .Ducuments ambazo zilikuwa zije kabla ya conteiner zilichelewa ambazo ni Bill of Landing ,SGS, Parking list na Invoice na kulikuwa na shida kidogo na huyo Mhindi .zilichelewa kwa week mbili .siku saba hawakutozi .Wanaanza kuhesabu sasa after 7 days .Ndugu zangu kutokana na hizi hela za kuunga unga za kulikombolea ,kulipia port ,kulipia inspection. Kulipia bill of Landing pamoja na ushuru ilikuwa shida was almost 14m.nikafanikiwa kulitoa ,Nikakodisha Lorry za kampuni moja hapa Arusha wakalileta kwa uzuri, wakashusha mzigo ,kumbe shipping line wanakupa siku 7 kukaa na conteiner lao inatakiwa liwe limerudi sikujua hilo ,wakaa na conteiner la MSC KWA SIKU 17 wanatafutia mzigo wa kwenda Dar ,Ndugu zangu si ikabidi nilipe tena .Hapo hapo kuna hela inatakiwa ulipe za deposit $1400 ili waachie mzigo wako .Pale bandarini ni kuangalia mambo haya kwa wale ndugu zangu ndio mara ya kwanza kuagiza mzigo nje ya nchi '
WAKATI WANAWEKA CONTEINER KWENYE MAJI NA WATUMISHE HIZO DUCUMENTS ON THE SPOT,
HIKIKISHA UNAANZA KUFANYA MIPANGO YA KULILIPIA KWA TRA VERY IMPORTANT PLEASE.
HAKIKISHA SIKU MELI INAINGIA NDANI YA SIKU SABA UWE UMESHALITOA BANDARINI LA SIVYO ITAKULA KWAKO WANAITA STOREGE FEES .HAKIKISHA CONTEINER LA WATU LINARUDI AS SOON AS POSSIBLE..Ni hayo tu machache nimeona ni share na nyie ndugu zangu MSIJE mkapata hasara niliyopata sasa hivi nimeshaagiza kama mara mbili na hamna shida .Kama kuna mtu atahitaji angalau kaushauri let's me please. Don't hesitate to give me short sms .God bless you Guys.