Askofu Amani apingwa vikali-Mbulu

pela

Member
May 19, 2017
31
151
Katika hali mbaya tulinayo ya kiuchumi,kuna Maaskofu ambao wanatumia vibaya pesa za waumini na kuongeza mzigo wa michango. Askofu Amani wa jimbo katoliki la Moshi ambae ni msimamizi wa kitume katika jimbo katoliki la Mbulu amegonga mwamba na kupingwa vikali na halimashauri ya walei na maparoko alipokuwa akitafuta ridhaa ya kupitisha michango ya sherehe za kumsimika Askofu mpya wa Mbulu. Matumizi ya sherehe iyo ambayo ni million 360 yalipingwa vikali kwani ni makubwa mno na hayana ufafanuzi unaoeleweka.

Watu wengi walihoji kuhusu matumizi hayo katika kikao cha Halimashauri ya walei,maparoko na Askofu ambapo Askofu Amani alishindwa kutoa majibu yanayoeleweka.

Mwisho akasema tutatumia utaratibu wa bungeni wa ndio na hapana katika kupitisha hii michango,alipouliza mnapitisha hii michango wote waliitikia kwa kusema HATUTAKI..majibu hayo hajawahi kutokea katika historia ya jimbo la Mbulu.

Ifahamike kuwa kuna gari ambalo lipo bandarini limenunuliwa kisirisiri kwa ajili ya jimbo pasipo kuwashirikisha waumini wakati huo kuna magari yakutosha kwa ajili ya jimbo. Hayo ni matumizi mabovu ya pesa za waumini. Waumini wamechoka kuburuzwa na viongozi wasiojali maslahi ya jimbo .
 
Katika hali mbaya tulinayo ya kiuchumi,kuna Maaskofu ambao wanatumia vibaya pesa za waumini na kuongeza mzigo wa michango. Askofu Amani wa jimbo katoliki la Moshi ambae ni msimamizi wa kitume katika jimbo katoliki la Mbulu amegonga mwamba na kupingwa vikali na halimashauri ya walei na maparoko alipokuwa akitafuta ridhaa ya kupitisha michango ya sherehe za kumsimika Askofu mpya wa Mbulu. Matumizi ya sherehe iyo ambayo ni million 360 yalipingwa vikali kwani ni makubwa mno na hayana ufafanuzi unaoeleweka. Watu wengi walihoji kuhusu matumizi hayo katika kikao cha Halimashauri ya walei,maparoko na Askofu ambapo Askofu Amani alishindwa kutoa majibu yanayoeleweka. Mwisho akasema tutatumia utaratibu wa bungeni wa ndio na hapana katika kupitisha hii michango,alipouliza mnapitisha hii michango wote waliitikia kwa kusema HATUTAKI..majibu hayo hajawahi kutokea katika historia ya jimbo la Mbulu. Ifahamike kuwa kuna gari ambalo lipo bandarini limenunuliwa kisirisiri kwa ajili ya jimbo pasipo kuwashirikisha waumini wakati huo kuna magari yakutosha kwa ajili ya jimbo. Hayo ni matumizi mabovu ya pesa za waumini. Waumini wamechoka kuburuzwa na viongozi wasiojali maslahi ya jimbo .
Hizi nazo ni fedha za umma, CAG anatakiwa awe ana-audit na huku.
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Mkuu Askofu mpya wa mbulu ni nani?
 
Hii nchi hadi viongozi wa dini wanawanyonya raia..... Wakipata nafasi ya kuiba hawafumbi macho.
 
Bado hajatangazwa..maandalizi huwa yanafanywa kabla
Mhh unaujua kweli utaratibu wa Kanisa katoliki? Mfano ipite miaka mingine mitano bila askofu hiyo budget unayozungumzia itakuwa na uhalisia gani? Maana hakuna sheria kuwa baada ya kipindi fulani kutakuwa na Askofu mpya! Hii habari bado ina uwalakini. Ku,buka tangu 2014 hawana Askofu mpaka leo. Ni nin kiwasukume kuandaa budget leo?
 
uongo huu. hauiwezekani kwa Kanisa Katoliki kuanza maandalizi ya sherehe za kumwapisha askofu Mpya kabla ya kutanganzwa, na hakuna muumini wala mapadre wanaoweza kujua Baba Mt. atamtangaza lini na nani, hata huyo Askofu Aman anaweza kutangazwa yeye kuhamia hapo au akaja mtu asiye mfahamu miongoni mwa waliopendekezwa kwa siri na Baraza la Maaskofu.
aidha ninachokiona hapa ni mleta mada kutokuelewa hata utaratibu wa matumizi ya fedha za Kanisa. fedha za Jimbo zinaamuliwa maamuzi na Halmashauri ya walei ngazi ya Jimbo chini ya usimamizi wa askofu wa Jimbo na sio waamini,. waumini hawawezi kupendekeza matumizi ya fedha.
na kwa jimbo hilo, (Mbulu) viongozi wa Halmashauri walei wanahamu ya kusikia wnapata askofu mpya. pengine mjadala huu tusiupuuze, labda ni sehemu ya kuanzisha movement ya kjuonesha kwamba Askofu Aman hatakiwi Mbulu ili asiteuliwe yeye.
na dalili za kuteuliwa yeye (Amani), ni rahisi kwasababu Jimbo limekuwa na Maaskofu kutoka Moshi kwa mfululizo ambao ni Askofu Ruwaich sasa yupo mwanza na Kinyaiya ambaye sasa ni askofu Mkuu wa Dodoma
 
Tafadhali ndugu..rudia kusoma kilichoandikwa. Kikao kilikuwa cha halimashauri ya walei,maparoko na Askofu...hakuna mahal pameandikwa waumini ndo wanapitisha
 
Katika hali mbaya tulinayo ya kiuchumi,kuna Maaskofu ambao wanatumia vibaya pesa za waumini na kuongeza mzigo wa michango. Askofu Amani wa jimbo katoliki la Moshi ambae ni msimamizi wa kitume katika jimbo katoliki la Mbulu amegonga mwamba na kupingwa vikali na halimashauri ya walei na maparoko alipokuwa akitafuta ridhaa ya kupitisha michango ya sherehe za kumsimika Askofu mpya wa Mbulu. Matumizi ya sherehe iyo ambayo ni million 360 yalipingwa vikali kwani ni makubwa mno na hayana ufafanuzi unaoeleweka.

Watu wengi walihoji kuhusu matumizi hayo katika kikao cha Halimashauri ya walei,maparoko na Askofu ambapo Askofu Amani alishindwa kutoa majibu yanayoeleweka.

Mwisho akasema tutatumia utaratibu wa bungeni wa ndio na hapana katika kupitisha hii michango,alipouliza mnapitisha hii michango wote waliitikia kwa kusema HATUTAKI..majibu hayo hajawahi kutokea katika historia ya jimbo la Mbulu.

Ifahamike kuwa kuna gari ambalo lipo bandarini limenunuliwa kisirisiri kwa ajili ya jimbo pasipo kuwashirikisha waumini wakati huo kuna magari yakutosha kwa ajili ya jimbo. Hayo ni matumizi mabovu ya pesa za waumini. Waumini wamechoka kuburuzwa na viongozi wasiojali maslahi ya jimbo .
ACHA UONGO WEWE
 
Njoo na ile ID yako ya ukweli unayotambulika nayo,acha kujificha huku na uongo wako.Wakati mwingine jitahidi uonekane km mwanaume
 
uongo huu. hauiwezekani kwa Kanisa Katoliki kuanza maandalizi ya sherehe za kumwapisha askofu Mpya kabla ya kutanganzwa, na hakuna muumini wala mapadre wanaoweza kujua Baba Mt. atamtangaza lini na nani, hata huyo Askofu Aman anaweza kutangazwa yeye kuhamia hapo au akaja mtu asiye mfahamu miongoni mwa waliopendekezwa kwa siri na Baraza la Maaskofu.
aidha ninachokiona hapa ni mleta mada kutokuelewa hata utaratibu wa matumizi ya fedha za Kanisa. fedha za Jimbo zinaamuliwa maamuzi na Halmashauri ya walei ngazi ya Jimbo chini ya usimamizi wa askofu wa Jimbo na sio waamini,. waumini hawawezi kupendekeza matumizi ya fedha.
na kwa jimbo hilo, (Mbulu) viongozi wa Halmashauri walei wanahamu ya kusikia wnapata askofu mpya. pengine mjadala huu tusiupuuze, labda ni sehemu ya kuanzisha movement ya kjuonesha kwamba Askofu Aman hatakiwi Mbulu ili asiteuliwe yeye.
na dalili za kuteuliwa yeye (Amani), ni rahisi kwasababu Jimbo limekuwa na Maaskofu kutoka Moshi kwa mfululizo ambao ni Askofu Ruwaich sasa yupo mwanza na Kinyaiya ambaye sasa ni askofu Mkuu wa Dodoma
Iyo million 360 siyo ya kwanza kuchangwa kwa ajili ya sherehe hizo.Mwaka 2015 ilichangwa million 202 kwa ajili ya sherehe za Askofu lakini Askofu hakupatikana mwisho ikaripotiwa kuwa izo hela zilitumika kwenye ukarabati ambao hukueleweka .Kwa sasa Askofu Amani alisema Balozi wa Papa yuko mbioni kuja..akishafika Askofu atapatikana ndo akaleta bajeti ya 360M kwa ajili ya sherehe za mwaka huu katika kikao kilichofanyika tr 16/5/2017 jumanne katika parokia ya Sanu -Mbulu..Habari hizi si za kuzushwa. Kama kuna wasi wasi wa hili mnaweza wasiliana na Askofu Amani mwenyewe.
 
Mhh unaujua kweli utaratibu wa Kanisa katoliki? Mfano ipite miaka mingine mitano bila askofu hiyo budget unayozungumzia itakuwa na uhalisia gani? Maana hakuna sheria kuwa baada ya kipindi fulani kutakuwa na Askofu mpya! Hii habari bado ina uwalakini. Ku,buka tangu 2014 hawana Askofu mpaka leo. Ni nin kiwasukume kuandaa budget leo?
Waulize Geita na Singida walifanya nini kabla ya kutangazwa askofu. Walifanya maandalizi kabla. mwaka 2015 askofu alikuwa anatarajiwa kupatikana. Mchango wa 202M ukapitishwa...lakin hakupatikana. Kwa sasa Askofu Amani kasema yuko mbion kupatikana ndo maana kaleta bajeti ya 360M
 
Back
Top Bottom