Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunao Machifu wa kale ambao majina yao yanabeba sifa kubwa kama vile kupambana na wakoloni au wavamizi waliokuwa wakiingia Tanganyika wakati huo...lakini wengine walijulikana kwa uongozi wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msafara wa Rais yeyote yule duniani uwa wa hati za diplomat za kusafiria,pia inasemekana hakuna ukaguzi wowote unaofanyika, hawakaguliwa airport hata chembe. Uwa najiuliza km ni kweli vp katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SERIKALI imesema inamalizia kuandaa utaratibu kupitia Benki Kuu (BoT), ikiwemo uhakiki wa taarifa za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni yaliyofungiwa ili kuweza kutoa vibali maalumu kwa maduka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The term originated from the fact that movies used to be captured onto physical reels of film that would be measured in feet. For example, when using 35mm film, a commonly used film gauge for...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
UKIJITAMBUA UTAFIKA MBALI SANA ………….. Maisha yako, yamo mikononi mwako KABISA. LAKINI, katika ulimwengu huu, ni rahisi sana kuyapaki pembeni, Ukaanza kuishi maisha ya watu wengine. …………. Fikiria...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
HATIMAYE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanika mali za aliyekuwa Mhasibu Mkuu wake, Godfrey Gugai, ambaye utajiri wake unakadiriwa kuwa wa thamani ya Sh. bilioni 3.5...
5 Reactions
291 Replies
45K Views
Kiukweli nmeshangaa sana. Ni mmoja ya watu ambao miaka mingi nmekuwa niki wa admire sana humi JF. hasa kwa stories zake na vituko mbalimbali. Jana nlipata nafasi ya kukutana naye kupitia kwa...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25. Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
After over five hours in the theatre, my multiple surgeries went successfully here in India. I would like to thank you ALL for your prayers & good wishes! I'm still in a great amount of pain so...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Wakuu Kuna kitu najiuliza binafsi, hivi hawa jamaa kuombaomba wanarithi kwa vizazi na vizazi au wanafundishwa kabisa waombe. Utakuta wanaombaomba miaka yote tena wengine wazima na sio vilema wala...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu sina mengi. Je wamasai hawana haki ya kuja kutuoshea vyombo majumbani huku? Nini siri ya wamasai kutokuwa mabekitatu?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali ni mbaya mtaani, watu wanahangaika sana kufanya hiki na kile bado mambo hayaendi, watu wananyenyekea ajira zao na maboss wao kipindi hiki hadi hatari, Ajira hamna, Soko la kuuza bidhaa mtaani...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Wanyakazi wa fastjet walifungua kesi mahakamani wakiiomba mahakama iweke zuio la muda fastjet wasiondoe ndege zao mbili nchini zenye usajili 5H-FJH na 5H-FJI mpaka hapo fastjet Plc watakapolipa...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Wakati Serikali ikiwataka Wananchi wote kusalimisha kwa hiari mifuko ya plastiki waliyonayo kabla ya Juni mosi mwaka huu, Ofisi ya Tarafa ya Mihambwe imesema hakutakuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana ,Watt wetu wamemaliza minihani ya form 4 mwaka jana mwezi wa 11 na mpaka sasa ni miezi nane wapo majumbani wakisubiri kupangiwa SHULE zao. Hivi si hatari kweli kwa...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kufuatilia kizazi hiki cha walinda Raia na mali zao nimebaini kwamba viumbe hawa pamoja na mapungufu yao lakini wanastahili pongezi na heshima kubwa. Kulikuwa na hoja wakati wa mchakato...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika Dunia Tunayoishi Sasa Ambapo Dunia Imekuwa Kama Kijiji Ni Vizuri Kutokuweka Kila Kitu Kinachohusu Maisha Yako Kwenye Social Networks, Be Selective On What To Post Not Everything Has To Be...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Asikwambie mtu kukaa maskani yoyote Ni msala maana mamwera muda wowote wanatimba na mapira kutujaza.kama una roho nyepesi usikae kabisa we chukua mzigo stori nyingine kwenu,kula pia kwenu.mimi...
8 Reactions
31 Replies
5K Views
Akizungumza na vyombo vya habari mwanzilishi wa mtandao huo Mark Zuckerberg,, amewakosoa vikali wale ambao wanatoa wito kampuni hiyo ifungwe, akiongeza kuwa wanafanya kila wawezalo kukabiliana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na utafiti wangu wa siku mbili zilizopita, nimegundua kuwa si kweli kwamba dunia yetu ina umri wa miaka 6,000 ya mwanadamu. Bali, ina umri wa miaka 13,000 ya Mungu. Biblia yenyewe inasema...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…