asee halafu toto la namna hiyo huwa ni lile toto unalolipenda kiasi kwamba Ukiskia mtu kampiga analia utatoka huko mkuku mkuku kumtafuta alompga mwanao.Toto kama ww ningelidump mapeema..hahaha..nimeishia katikati...hahhaa Namuona Luiz wangu akifuata nyayo zako...haha My son anapoga vidume wenzake balaa..ila videmu hagusi.hhhaa...mm shule nilikua na shida 1...nilikua naiba maandazi kw chief cooker..na nyanya orchard...basiii..mengine i was soo perfect..hàhaha...!na kesi zangu hazijawah fika kwa dingi had umri huu😂😂😂..ila nilikua nikichokozwa nakimbilia jug la umeme nachemsha maji😂😂😂
Mmh hongera mpaka umri huo huna kesi ilofika kwa dingi kishuleshule.....Toto kama ww ningelidump mapeema..hahaha..nimeishia katikati...hahhaa Namuona Luiz wangu akifuata nyayo zako...haha My son anapoga vidume wenzake balaa..ila videmu hagusi.hhhaa...mm shule nilikua na shida 1...nilikua naiba maandazi kw chief cooker..na nyanya orchard...basiii..mengine i was soo perfect..hàhaha...!na kesi zangu hazijawah fika kwa dingi had umri huu[emoji23][emoji23][emoji23]..ila nilikua nikichokozwa nakimbilia jug la umeme nachemsha maji[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh hongera mpaka umri huo huna kesi ilofika kwa dingi kishuleshule.....
Mimi bwana dingi aliitwa shule na faini alikuwa analipa nilikuwa na vurugu kweli kweli.... Yule mzee mungu amuweke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Aliitwa shule nakumbuka nipo la sita tulivamia nyumbani kwa watu tulivuruga nyumba nzima... Aseee kesho yake paredi mwalimu mkuu akatutangaza kama majambazi wa shule na barua kwa wazazi juu.... Wazazi wakalipa faini yakaisha
Asee hapo kwenye kutumia silaha naona tumetoka tumbo moja[emoji23][emoji23]Mimi jamani sijawah..nilikua najiwah kuomba msamah kwa matron..ila twin wangu walimshindwa jaman..wakamuexpell...mie sijawah...ila kinyumban nilikuaga sitak kbs kuchokozwa...!mie ugomvi wangu huwa hauishi..visu vinahusu kbs...yaan mie sion shida kukujia na shoka kbs[emoji23][emoji23]..thts y sipendg bifu na mtu...kwanza najiogopaga kbs...naweza choma nyumba kbs
[emoji23][emoji23]
utoto saingine sjui ni ma pepo au vipi sielewagi...si unajua hizi shule zetu kengele inatundikwa kwenye mti,siku hyo na wenzangu tukaenda ZAMU ilikua kipindi kama hiki cha likizo baada ya kupiga usafi shuleni tukakubaliana tuchukue kengele tudumbukize chooni maana ndio inatucheleweshaga kutoka darasanai.Mmh hongera mpaka umri huo huna kesi ilofika kwa dingi kishuleshule.....
Mimi bwana dingi aliitwa shule na faini alikuwa analipa nilikuwa na vurugu kweli kweli.... Yule mzee mungu amuweke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Aliitwa shule nakumbuka nipo la sita tulivamia nyumbani kwa watu tulivuruga nyumba nzima... Aseee kesho yake paredi mwalimu mkuu akatutangaza kama majambazi wa shule na barua kwa wazazi juu.... Wazazi wakalipa faini yakaisha
wewe utakua una ukoo na kina OSAMA BIN LADEN😂😂Mimi jamani sijawah..nilikua najiwah kuomba msamah kwa matron..ila twin wangu walimshindwa jaman..wakamuexpell...mie sijawah...ila kinyumban nilikuaga sitak kbs kuchokozwa...!mie ugomvi wangu huwa hauishi..visu vinahusu kbs...yaan mie sion shida kukujia na shoka kbs😂😂..thts y sipendg bifu na mtu...kwanza najiogopaga kbs...naweza choma nyumba kbs
😂😂