Kwa nini wataalam wengine wa afya hawaaminiki kuongoza taasisi za afya na hospitali

Kiebuta

Member
Jun 12, 2019
36
188
Kwa ninachokiona Tanzania mfumo wa uongozi katika taasisi ya Afya na tiba na hospital zote nchini zinaongozwa na madaktari au tabibu kwa ngazi za chini..

Hata nilipojalibu kuchungulia wizara ya afya, tofauti na Waziri na Naibu wake, Vitengo na kurugenzi zote zinawajibika kwa Mganga mkuu wa serikali...

Je, Serikali haiwaamini wataalam wengine kama wafamasia, wataalamu wa mionzi, watechnolojia wa maabara, wauguzi, wataalamu wa lishe,nk...

Au hizi fani zingine n kichefuchefu sifa zao kielimu haziwapi nafasi kuongoza,
 
Back
Top Bottom