Polisi: Usinunue simu kwa mtu usiyemjua

king90

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
368
217
KUTOKA JESHI LA POLICE: USALAMA WA MAISHA YAKO.

* Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

* Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.

* Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina sh ngapi ili uchukue salio. Simu inapoibiwa au mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako, simu yako inahusishwa na tukio hilo.

* Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

* Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali. Kumbuka namba yako umesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhumiwa namba moja.

Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.

MPE ONYO NA MWENZAKO.
 
Santee. Angalizo zuri,Ila mbona taarifa hii oficial haijasainiwa na mtu yeyote chini?
 
Only in TZ ambapo hakuna Detectives wenye ueledi haswaaaa ila kwa nchi zilizoendelea hata jambazi aweke karatasi ya vocha mfukoni mwako au ujirushie vocha kwenye line iliyodondoshwa na jambazi utakuwa safe tu!! Ila kwa kwetu ni hatare kutokana kuwa na wapelelezi vilaza.

Umenena vema mkuu
 
Upo sahihi sana mkuu, wapelelezi wa tz ni vilaza tena sanaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: R.K
KUTOKA JESHI LA POLICE: USALAMA WA MAISHA YAKO.

* Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

* Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.

* Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina sh ngapi ili uchukue salio. Simu inapoibiwa au mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako, simu yako inahusishwa na tukio hilo.

* Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

* Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali. Kumbuka namba yako umesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhumiwa namba moja.

Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.

MPE ONYO NA MWENZAKO.

Hamuoni kama tuliowengi tumebambikwa sana kesi kwa mtindo kama huu....??? ndo mana rushwa haitaisha kwa kuwa kuna watu wanaishi kwa migongo ya wenzao. enyi mwera ongezeni mbinu za inteligensia ili muwe na weredi na sio kutumia mbinu za ukanjanja kanja tu .
 
Duh. Hii ni mwisho wa matatizo

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
sijaona jpya hapo, yote hayo huwa nayafanya as my daily reutine. sinunui simu mtaani, vocha-mpesa, e.t.c
 
KUTOKA JESHI LA POLICE: USALAMA WA MAISHA YAKO.

* Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

* Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.

* Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina sh ngapi ili uchukue salio. Simu inapoibiwa au mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako, simu yako inahusishwa na tukio hilo.

* Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

* Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali. Kumbuka namba yako umesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhumiwa namba moja.

Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.

MPE ONYO NA MWENZAKO.

Asante Kamanda Kova kwa kuja na staili hii mpya ya tahadhari!
 
Kwaiyo Wamenunua Mtambo Wakujua Simu Iliopotea Ipo Wapi Wana Iba Simu Apa Wapeleke Mkoani Watajuaje? Mmh Akat Kifa Cha Kusachi Simu Hawana? Uwongo Mtu Japo Ni Tahadhari Tuchukue Hatua Na Maisha Yaendele Kwa Jinsi Mtu Atakavyo?
 
KUTOKA JESHI LA POLICE: USALAMA WA MAISHA YAKO.

* Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

* Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.

* Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina sh ngapi ili uchukue salio. Simu inapoibiwa au mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako, simu yako inahusishwa na tukio hilo.

* Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

* Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali. Kumbuka namba yako umesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhumiwa namba moja.

Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.

MPE ONYO NA MWENZAKO.

Basi kama hapo ndo mwisho wa upeo wa kufikiri kwa jeshi letu la porisi, basi lingefutwa tu kwani kila mmoja anaweza kamata mharifu wake kwa viushahidi hivyo,, Yaani Hamna Jipya kabisa
 
Back
Top Bottom