Hili jambo Limenishangaza. Ni nini Kinaendea?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,515
Kama week mbili tatu hivi nlikuwa na safari sehemu mbali mbali.Nlienda Uk kikazi nikaenda USA na kurudi SA kabla sijaingia TZ last week.

Leo nlikuwa maeneo Flan pale Carwash nmepark nliona nikaoshe BMW Maana kipindi chote sipo ilikuwa imepark tu. Nikasema nikanunua voucher duka la karibu mbili ya Voda 10,000 na Tigo 20,000. Muuzaji akanipa voucher kaniwekea kwenye mfuko.

Sasa sielewi namwona mteja mwingine kiberiti anawekewa kwenye mfuko wake, sabuni mfuko mwingine na dawa ya meno mfuko wake.yaani hivyo vitu vitatu mifuko mitatu tofauti. Hii customer service/care imenishangaza sana.

Ina maana wateja ndo wanabebembelezwa hivi? jamani hadi voucher inawekwa kwenye mfuko? Tunakoelekea sasa hadi chewing gums zitawekwa kwenye mifuko.anyway nlimwambia naweka muda huo huo akasema hamna shida nitumie tu mfuko hata kwa matumizi ya baadaye.
 
Dogo muongo mpaka nimetabasamu. Haya USA uliyoenda ni USA river au USA bar Tandika. Bajaj unaita BMW? hongera
 
Maana na lengo la maelezo ya awali kam usa,uk,car wash na bmw ndo bado najaribu kuyahusisha na hii habar kichwa yangu imegoma.sijui naanza kuzeeka
Nadhani ulikuwa hujui kuwa pamoja na mkulu kubada sana tupo tunaokula hii nnjii kiulainiii kama kumsukuma mlevi. Wewe vocha ya juu uliyoiweka nadhani ni Tsh 5000 tena kwa mkwara mkubwa. Wenzio ya chini kabisa ni 10 thou tena hajui ka kuna ya 500.
Jamani ngoja nipost kwani naona daladala hiyoo ya Kimara mwisho imekuja. Mbavu zangu, Dah! Lakini kama mkuu hajakusoma nadhani hata Mungu anakuona na mijigambo yako hii
 
MIMI SIYO MHAYA PLEASE. SITOKEI HUKO KABISA NA SIELEWI KWA NINI UNIHUSISHE HUKO.

Write your reply... Ukaone ukaoshe bmw pale carwash, umeona usiseme tu gari, vocha ya 10k,usa,uk,sa. . kuna story mbili tofauti hapo, wewe muhaya wa wappi mkuu? au unatengeneza cv ya kuzama pm kwa mtu.

qaz
 
Back
Top Bottom