Je, umewahi kupiga 10% kwenye tenda za serikali au taasisi zake? Jitathmini kiama chaja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,925
Hili ni angalizo tu kwa wazabuni wenye tabia ya kuzidisha bei maradufu kwenye oda za serikali kaeni mkao wa kusikilizia.

Hii inahusisha wafanyabiashara na maafisa ugavi.....kama uliwahi kuuza/kununua kalamu ya BIC kwa sh 1000@ kwa ajili ya matumizi ya serikali basi angalizo hili linakuhusu, huu ni mfano mmoja.

Nimetonywa na kijani mwenzangu pale Lumumba.

Maendeleo hayana vyama!
 
mhn! hivi wana magereza ya kutosha kuweza kuwafunga watu?
pia wajipange kuajiri watumishi wapya wasio na ujuzi achilia mbali wajipange kwa hasara zaidi kwakuwa utendaji utashuka.
 
Back
Top Bottom