Ugonjwa wa dengue hupo sana kwa watu wenye uwezo kuliko uswahilini kwa sababu hizi.

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana if,

Ugonjwa huu unaenszwa na mb mpenda usafi, mbu huyu hakai sehemu yenye harufu mbaya, mbu huyu ana tabia kama za kipepeo uzalia kwenye maua ambayo yameechanua na kuacha nafasi ya kutuama maji. Mbu huyu uwezi kumkuta sehemu ambayo hakuna bustani. Mbu huyu uwezi kumkuta sehemu ambayo ndoo moja wanaoga watu wanne wala wakifagia Wanaacha mavumbi. Sasa kibao kimegeuka, wale Wa masaki, O,bay, mikocheni, kunduchi, nbweni na Bunju beach walikwepa sana kipindupindu kinachopatikana uswahilin sasa ushuani wao dengue tu. Kama kuna mtu anabiashi afuatilie wanaohupata wanatoka mazingira gani.
 
Kuwa makini sana na immunity yako.. maana ikiwa chini ni rahisi sana kushambuliwa na huu ugonjwa. Hakikisha kila siku unakula mboga za majani na mchanganyiko wa at least matunda mawili kila siku. Kunywa maji ya kutosha, kula vyakula kamili (whole foods) kama dona. Jitahidi kufanya mazoezi hata kutembea tu km 1 kwa siku. Kujiepusha ni bora zaidi kuliko kutibu..
 
Tati

Tatizo watu hawataki kula nyumbani wanaendekeza sana bata kwa kula vyakula vya kwenye baa tu. Mtu akila samaki pekee Sikh inapita, kitimoto hivyo hivyo hakuna mboga mbga
 
Wana if,

Ugonjwa huu unaenszwa na mb mpenda usafi, mbu huyu hakai sehemu yenye harufu mbaya, mbu huyu ana tabia kama za kipepeo uzalia kwenye maua ambayo yameechanua na kuacha nafasi ya kutuama maji. Mbu huyu uwezi kumkuta sehemu ambayo hakuna bustani. Mbu huyu uwezi kumkuta sehemu ambayo ndoo moja wanaoga watu wanne wala wakifagia Wanaacha mavumbi. Sasa kibao kimegeuka, wale Wa masaki, O,bay, mikocheni, kunduchi, nbweni na Bunju beach walikwepa sana kipindupindu kinachopatikana uswahilin sasa ushuani wao dengue tu. Kama kuna mtu anabiashi afuatilie wanaohupata wanatoka mazingira gani.
Confusing HUPO au "Upo"
 
Tusijidanganye swahiba wangu na mkewe imewapitia homa hii na wanaishi uswazi ndg!
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Mpaka sasa nawajua wawili wa ushuani wako kwenye dose,ngoja niendelee kufuatilia wengine....
 
Na bahati mbaya sana tunauchukulia poa.
Waache wanaouchukulia powa nao utawachukua kimpango wao,Tarimba Abas kapoteza vijana wake wawili ndani ya miezi mnne,sasa mm na ww wa kwa mtogole cjui manzese kwa mfuga mbwa wacha tujazane upuuzi!
 
Kwa takwimu za mwezi wa tano Ilala ilikuwa na wagonjwa wengi zaidi kuliko Masaki, Upanga na Mikocheni kwa pamoja

1131612

1131611
 
Wana if,

Ugonjwa huu unaenszwa na mb mpenda usafi, mbu huyu hakai sehemu yenye harufu mbaya, mbu huyu ana tabia kama za kipepeo uzalia kwenye maua ambayo yameechanua na kuacha nafasi ya kutuama maji. Mbu huyu uwezi kumkuta sehemu ambayo hakuna bustani. Mbu huyu uwezi kumkuta sehemu ambayo ndoo moja wanaoga watu wanne wala wakifagia Wanaacha mavumbi. Sasa kibao kimegeuka, wale Wa masaki, O,bay, mikocheni, kunduchi, nbweni na Bunju beach walikwepa sana kipindupindu kinachopatikana uswahilin sasa ushuani wao dengue tu. Kama kuna mtu anabiashi afuatilie wanaohupata wanatoka mazingira gani.
Umeshikwa mikono usiwe tajiri? kwa nini uwe na chuki nao? una vinasaba vya Hitler?
 
Mbu huyo huyo anabeba dengue fever, chikukunya na zika! Na dalili za madudu hayo zina fanana!
 
Back
Top Bottom