Hongera dereva wa Upendo coach Dar - Iringa

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,318
Reaction score
7,983
Wiki iliyopita nilikuwa nanyi kwenye gari lenu T .... DDB. Kwa bahati mbaya likatuharibikia melela KM 39 toka Moro. Katika kupiga stori abiria waliiponda sana kampuni yenu kuwa magari ni mabovu.

Nami niliunga mkono hoja baada ya kutathimini mwendo wenu na ule wa Al Saedy tuliyemuacha robo saa zima akaja kutupita kitonga na hatukumkuta tena!!!
Toka siku hiyo nikaapa kutokutumia magari yenu.

Leo nimekata tiketi KIMOTCO (Meresero Generation). Tunapotoka ubungo tuliacha Upendo mkiendelea kupakia. Lakini katika hali isiyotarajiwa mmetupita Boma kama tumesimama. Yaani hakuna kitu kinachonikera kama kupitwa njiani na gari jingine.

Dereva huyu amenikera kinoma! Yaani yeye anaovertake tankers tu na maroli, aaghhh. We dereva unajielewa sana na kuanzia sasa natengua kauli ya kusema magari yenu mabovu maana sio kwa kutembezwa kule duh!!!. Kuanzia Leo notakuwa abiria wenu maana mnajielewa sana kwenye 80 unatembea 80 sio hili lindezi linatembea 40,50 na 70.
Hapa kwenye picha ndio siku gari lilipozingua na likashindwa kuendelea na safari. Tulifaulishwa kwenye New Force.

IMG_20190615_105634.jpeg

Wale mnaokerwa na madereva wazembe karibuni
 
Nimesoma nikaweweseka kuanzia para ya pili, Kimotco mara upendo traveller, ninavyojua upendo inakwenda iringa na hao mberesero wanakwenda kwao arusha.

Sasa wapi na wapi hiyo safari yako.
 
wanaenda iringa pia
Nimesoma nikaweweseka kuanzia para ya pili, Kimotco mara upendo traveller, ninavyojua upendo inakwenda iringa na hao mberesero wanakwenda kwao arusha.

Sasa wapi na wapi hiyo safari yako.
 
Wiki iliyopita nilikuwa nanyi kwenye gari lenu T .... DDB. Kwa bahati mbaya likatuharibikia melela KM 39 toka Moro. Katika kupiga stori abiria waliiponda sana kampuni yenu kuwa magari ni mabovu.

Nami niliunga mkono hoja baada ya kutathimini mwendo wenu na ule wa Al Saedy tuliyemuacha robo saa zima akaja kutupita kitonga na hatukumkuta tena!!!
Toka siku hiyo nikaapa kutokutumia magari yenu.

Leo nimekata tiketi KIMOTCO (Meresero Generation). Tunapotoka ubungo tuliacha Upendo mkiendelea kupakia. Lakini katika hali isiyotarajiwa mmetupita Boma kama tumesimama. Yaani hakuna kitu kinachonikera kama kupitwa njiani na gari jingine.

Dereva huyu amenikera kinoma! Yaani yeye anaovertake tankers tu na maroli, aaghhh. We dereva unajielewa sana na kuanzia sasa natengua kauli ya kusema magari yenu mabovu maana sio kwa kutembezwa kule duh!!!. Kuanzia Leo notakuwa abiria wenu maana mnajielewa sana kwenye 80 unatembea 80 sio hili lindezi linatembea 40,50 na 70.

View attachment 1132895

Wale mnaokerwa na madereva wazembe karibuni
...Vipi, hapo mnachimba dawa? Si siku hizi dawa ina sehemu maalumu za kuchimbwa???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom