Wadada wenye magari hii ni Kero

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,496
41,921
Aisee wadada wenye Magari wanazingua sanaa kwani lazima mkiwa mnadrive mpandishe sketi juu mpaka mapaja yaonekane waziwazi??? Yani mnakera sana kukaa uchi hata kama magari ni yenu lakini muwe mnajisitiri huku nje tunawaona Trafic muanze kuwapiga fine hawaa
 
Siku hizi tabia zao wanachati sana au kuongea sana na simu huku wanaendesha bila kujali matumizi ya barabara!!

Ukimuangalia kimini kipo juu, wakisababisha ajali wanalia hao!!
 
Unaonaje paja la mtu anaeendesha gari? Au mikono ndiyo inakanyaga na miguu ndiyo inashika usukani???
Nipo kwenye eicher nimesimama naachaje kumuona na gari haina Tinted?? Mdada ana gari basi mapaja yooote wazi wakivaa sketi na gauni ni makusudi maana wamama mbona wanajistiri poa tu
 
Mavazi yao ukikaa lazima ivutike juu.

Wamama wanavaa vigauni virefu.

Na wanawake wakiwa wanaendesha huwa wanakaa kama wanataka kutake off.

Ila sio shida yao ni yako unayewaangalia....kwann usimwangalie dereva wa daladala anayekuendesha
 
Shenztype nimwangalie mpemba na kibarakashia chake wanini, wakati mali ipo nje?
Mavazi yao ukikaa lazima ivutike juu.

Wamama wanavaa vigauni virefu.

Na wanawake wakiwa wanaendesha huwa wanakaa kama wanataka kutake off.

Ila sio shida yao ni yako unayewaangalia....kwann usimwangalie dereva wa daladala anayekuendesha
 
Aisee wadada wenye Magari wanazingua sanaa kwani lazima mkiwa mnadrive mpandishe sketi juu mpaka mapaja yaonekane waziwazi??? Yani mnakera sana kukaa uchi hata kama magari ni yenu lakini muwe mnajisitiri huku nje tunawaona Trafic muanze kuwapiga fine hawaa
Raha ya macho ni kutazama...ukute upo kwenye eicher juu juu halafu mtoto anadrive kithanks hubby chake na paja ukute halijui shida...yaani natural...rangi moja halina nywele wala upele..utatamani mataa yasiruhusu milele...
 
Tuko pamoja baharia
 
  • Thanks
Reactions: vvm

Similar Discussions

Back
Top Bottom